Ditex
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 284
- 887
We unamponda sana UMUGHAKA lakini kwenye huu uzi wake umepiga kambiNdio shidaa yake kila sehemu lazm atoe boko ,Sasa mtu unaelekezwa funga na Kisha fungua saa fln wee unaenda kuangaika na tv na kuchungulia nyumba za watu
I'll ukimbuambia ukweli wapambe na wafuasi wake watukujia juu hatari
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app