Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope umughaaka haweZi kukwamisha story zake ,haweZi Susa tulia acha waswasi atakuja tuEmbu kua mtu mzima kaka.
Kbsa kbsa tatizo Ni mgumu kuelewaa[emoji3]Jamaa atatuletea shida sana huyu. Ni vyema azingatie maelekezo ya Mpemba.
Bora mzee wa busara umuelezeUMUGHAKA ondoa hamu ya kukiona hicho kiumbe, kitakutoa uhai
Embu nawew tulia huko ipinda unadhani huyu jamaa Hana Kaz za kufanya ,kazi zake Ni bodaboda so tulia alete anavyotakaMbona ka leo kafupi UMUGHAKA , tupe ofa basi hata ushushe 3 leo 13, 14, na 15, please. [emoji3]
Ndo yakoje?Hilo litakuwa ni nyang'au
🤣 🤣 🤣 🤣 Ngoja tumcheck Mpemba kama vipi amtafute mtumwingine.
Acha tu sis Umughaka ana ujasiri sio wa nchi hii!🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆Weeeh me ningezima
DuhMzee mbona Makasiriko hivyo? Tafuta hela makasiriko yataisha yenyewe...
Na Jini mtetemo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jini mkata kamba kwa Ally Mpemba kuna jini mvunja vyombo[emoji23][emoji23]