Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huyu UMUGHAKA shida yake ndio hii. Kwani kusema leo niko safarini sitaweka chochote inam-cost nini? Au angeweka ratiba kwa mfano aseme "kila siku saa moja usiku naweka mwendelezo" kusingekuwa na manung'uniko haya ya wateja wake. Mpaka watu wanakata tamaa bhana..[emoji35]
kwa hiyo atakula upepo,au siyo mkuu..
 
Hello!.

Hope mko poa.

Ndugu zangu wa mkoa wa Mbeya,nimeingia usiku huu hapa Mbeya na nitakuwa hapa kwa siku kadhaa,hivyo kwa atakaye taka kuonana na mimi ani-pm ili tufahamiane.

Jumapili nategemea kwenda Gereza la Ruanda kumuona na kumsalimia Mshikaji wangu Gabriel (Gabi).Huu umekuwa utamaduni wangu kila mwanzo wa mwaka kuja kumjulia hali jamaa yangu aliyehukumiwa miaka 30.

Nawapenda sana!.
Gabby akitoka muende mkavamie Ally mpemba mchukue pesa
 
Back
Top Bottom