Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Kama wajichange wamnunulie bando la 50k la mwezi hapo utaona ambavyo kila mtu anarudi nyuma Mana hayuko tayari kutoa nguvu/jasho lake ama muda wake mana Ni maumivu mnoHata wewe unajaza uzi kwa hiyo comment yako ya kulaumu watu wanaotumia bando zao kwa gharama zao, ni heri ungekaa kimya tu bwashee ππ