Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea.

Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.

NAWASILISHA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea.

Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.

NAWASILISHA.
Tutaamini vipi kama UMUGHAKA
Hajatia neno na id yake...
 
WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea.

Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.

NAWASILISHA.
INawezekana. Maana mshikaji anachungulia tu na kusepa
 
WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea.

Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.

NAWASILISHA.
Sidhani kama haya maelezo uliyotoa yeye kashindwa kutuambia kwa id yake
 
Mwanangu kuna karaha flani hivi unakapata ukiwa na hawa jamaa, kuna muda mnakuwa na bond yenye nguvu sanaView attachment 2486591View attachment 2486592

IMG_7375.jpg

Wangu huyu hapa siwezi muuza aisee ananipa raha mno ,nitumie dawa gani ya kuzuia asibebe mimba
Bado mdogo lakin ila Ndio anakaribia kukua?
 
[emoji16][emoji16][emoji16] unaogopa nini sasa, huyo alikuwa na ratiba yake ya kuoga ndomana muda wote anawaka
Zamani sana tulikuwa tunafuga, siku hiyo naingia ndani akanirukia toka juu ya kabati kwa ghafla na ilikuwa giza macho yake yanawaka. Basi toka siku hiyo nawaogopa sana ingawa waliniambia alikuwa anataka mcheze tuu ila uwoga haujatoka.
 
Back
Top Bottom