7jero
Member
- Oct 8, 2021
- 46
- 46
WAkuu poleni sana na majukum. Huyu mshikaji niliwasiliana nae, anasema anashindwa kuwapa taarifa ya kuwa hataweza kuendelea na hii story. Anadai ni ya kweli kabisa hivyo baadhi ya watu wanaoifaham familia ya huyo mpemba walifikisha taarifa kwa familia na familia imempiga marufuku kuendelea.
Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.
NAWASILISHA.
Anaomba sana mumsamehe kwani hataweza tena kuendelea na story yake.
NAWASILISHA.