Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

IMG_3224.jpg
 
Ili kupoteza muda tutajiane nyuzi zinazoendana na hii ili tuzidi kubaini Siri za ufamle wa Giza Kuna uzi mmoja mzuri Sana MIKASA YA AJABU NILIYOYASHUHUDIA KATIKA MAISHA YANGU.kwa bahati mbaya nayo haujaisha bado

Hili lileta uzi lilikuwa boya kweli, lilianza kuchangisha watu bukubuku ili limalizie
 
Hawezi mkuu, kuna member kaniambia kuwa wamemwambia aachane na huu uzi. Akijaribu hata kucomment atajuta. Labda mods waufute tu
Mkuu wakurya hawatishiwi nyau kirahisi. Labda wamloge na sii kumtisha.
Huoni Waitara pamoja na ccm kumpa shavu asaliti upinzani haikumfaa kitu? Aliendelea kuishi ndani ya ccm kiupinzani pinzani ikibidi wamweche huru aendelee na mishe zake.
Uchaguzi ujao atarudi mtaani kabisa kwa raha zake.
Mida sii mrefu Umughaka anashuka hapa na penzi zito la msukule wa kipemba[emoji15]
 
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† Mkuu huyo ni paka wako tu.
๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚ Hapana Mkuu alikuwa Paka wa Dogo yaani hata nikitaka kuongea au nikimwita Dogo yaani Paka anaona wivu, na anakuwa na sura ya kuzira na kususa kabisa basi hata kama mtakaa mita 3 au 4 na yeye atakuja mpaka miguuni mwa dogo anajibebisha
 
Kwa kujibebisha paka ndio mikato yake hiyoo
 
Back
Top Bottom