HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
๐๐ bado tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hukuelewa watu walivyosema?
Hili lileta uzi lilikuwa boya kweli, lilianza kuchangisha watu bukubuku ili limalizieIli kupoteza muda tutajiane nyuzi zinazoendana na hii ili tuzidi kubaini Siri za ufamle wa Giza Kuna uzi mmoja mzuri Sana MIKASA YA AJABU NILIYOYASHUHUDIA KATIKA MAISHA YANGU.kwa bahati mbaya nayo haujaisha bado
Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bรฌรจn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu mwenyewe,mkasa wa kwanza ulituhusu mimi na ndugu zangu ambapo wakati huo nikiwa nina miaka 14 - 15 mwaka 2000 -...www.jamiiforums.com
Hawezi mkuu, kuna member kaniambia kuwa wamemwambia aachane na huu uzi. Akijaribu hata kucomment atajuta. Labda mods waufute tuUMUGHAKA aje aandike hapa:- kwasababu amabazo zipo juu ya uwezo wangu, sitaweza kuendelea na kisa hiki.
Nitakuja na kisa jinsi nilivyofukuzwa shule (advance) kwa kupenda mbususu.
Uyo mpuuzi aliishiaga njiani..Hili lileta uzi lilikuwa boya kweli, lilianza kuchangisha watu bukubuku ili limalizie
Mkuu wakurya hawatishiwi nyau kirahisi. Labda wamloge na sii kumtisha.Hawezi mkuu, kuna member kaniambia kuwa wamemwambia aachane na huu uzi. Akijaribu hata kucomment atajuta. Labda mods waufute tu
Nakumiss Unique Flower ๐๐๐๐๐Kwanini wewe usitafute
MImi wanachoniudhi Paka wana tabia za kike sana huwa wanapenda kukasirika, kuzira na kuwa na wivuPaka kama anashiba ahili wadudu ila akiwa anawachezea ukiangalia unaishia kucheka tu, paka are so cute and entertaining
๐ ๐ ๐ ๐ Mkuu huyo ni paka wako tu.MImi wanachoniudhi Paka wana tabia za kike sana huwa wanapenda kukasirika, kuzira na kuwa na wivu
Unamsema demu wangu liveMImi wanachoniudhi Paka wana tabia za kike sana huwa wanapenda kukasirika, kuzira na kuwa na wivu
๐๐๐ Hapana Mkuu alikuwa Paka wa Dogo yaani hata nikitaka kuongea au nikimwita Dogo yaani Paka anaona wivu, na anakuwa na sura ya kuzira na kususa kabisa basi hata kama mtakaa mita 3 au 4 na yeye atakuja mpaka miguuni mwa dogo anajibebisha๐ ๐ ๐ ๐ Mkuu huyo ni paka wako tu.
Kwa kujibebisha paka ndio mikato yake hiyoo๐๐๐ Hapana Mkuu alikuwa Paka wa Dogo yaani hata nikitaka kuongea au nikimwita Dogo yaani Paka anaona wivu, na anakuwa na sura ya kuzira na kususa kabisa basi hata kama mtakaa mita 3 au 4 na yeye atakuja mpaka miguuni mwa dogo anajibebisha