Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kwa namna Farha (Maya) anavyomsifia Umughaka kwa shughuli nzuri,soon Ally mpemba anakatishiwa utajiri na anapewa Umughaka. Inaonekana burudani pekee anayoipenda Maya ni ngono,na tayari kampata dereva mzuri Umughaka,Mpemba anawekwa pembeni rasmi.
 
Namna Umughaka anavyomalizia episodes zake,ndipo uraibu wetu kwenye hadithi zake huanzia.

Umughaka,kabla haujaenda mbele sana hebu tuhabarishe response za Maya wakati wa gegedo alikuwa vipi,na kama alikuwa anatoa sauti za utamu pia unganisha mkuu.
Usiku mzima haukufanikiwa kumsemesha Maya kutaka kujua kama anasikia utamu au maeneo aliyokuwa akishikwa analowa?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwa namna Farha (Maya) anavyomsifia Umughaka kwa shughuli nzuri,soon Ally mpemba anakatishiwa utajiri na anapewa Umughaka. Inaonekana burudani pekee anayoipenda Maya ni ngono,na tayari kampata dereva mzuri Umughaka,Mpemba anawekwa pembeni rasmi.
Tambua UMUGHAKA anasimulia yaliyopita 🤣 usije ukadhani yanatokea sasa hivi ndo anakuja kuandika.🤣🤣🤣🤣

Umughaka anaesimulia ndio yule alieenda Mbeya juzi hapa tukawa tunasubiri story yake na alienda kwa basi sio Audi🤣🤣🤣
 
Mkuu kipindi kile akiwa bado anamuamini shetani,kwa sasa amerudi kundini ndio maana anaenda mbeya na bus badala ya audi lake.
 
Kwa mimi navojua hayo mambo ya utajiri na kafara, kufanya mambo ya ajabu kama hayo kulala na maiti, misukule, wazazi, mashoga nk.

Yote hayo ni ili tu kukufuru, kukubali kumuabidu shetani. So ndo kuna hizo njia nyingi ambazo unaweza kumuabudu. Ama lah wengine ndo hao majini ambao chakula chao ni damu ya wanyama so zile kafara zinakua na mawili chakula + kufuru=Kumuasi Mungu na kua mfuasi wa shetani.

Kama hapo huyo jamaa kafanya yote, analisha jini damu yake na wakati huhuo anafanya chukizo mbele za Mungu (kufuru) kwa kulala na jini/msukule.
Ni sehem gan kwenye biblia pameandikwa "kulala na maiti/msukule ni kufuru"?????
 
Huyo jamaa hapo hakusema kwamba kuna maagano. Maana mimi navyojua lakini kwa ufinyu wangu maagano ni makubaliano pande zote. sasa hili swala la kuja kubadilisha kutoka kuku mpaka binadamu inakuaje au ni wao ndo wanajiamulia? Halafu niliuliza kuhusu uhusiano wa damu ya mtu na yeye kuwa tajiri? Jaribu kuielezea KWA hali ya kawaida tu kama unamuelewesha mtoto 😂😂🙏 mana kuna watu nawaona mimi wanapata mshara mkubwa akipokea mshahara anaeenda kunywa pombe miaka 7 yupo kazini BADO kapanga baadae anasema mimi narogwa ngoja niende KWA mganga😂😂au mkuu maswala ya IMANI hayaelezeki?

Ndio maana nikasema maisha bila nidhamu, uvumilivu, utulivu huwezi kutoboa hata kama utakuwa na majini ya kukuletea magunia ya pesa. Watu huwa wanaanzia mbali sana. Hata hii JF imeanzia mbali sana Melo akiamua kuiuza kwa Zuckerberg, Elon Musk au Google atapata millions of dollar.
 
You will know the truth, and the truth will make you free." Bwana umughaka hakuijua kwer ila yeye alijua ni ukwer wakat ili ujue kama ni ukwer bible says tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.
 
Namna Umughaka anavyomalizia episodes zake,ndipo uraibu wetu kwenye hadithi zake huanzia.

Umughaka,kabla haujaenda mbele sana hebu tuhabarishe response za Maya wakati wa gegedo alikuwa vipi,na kama alikuwa anatoa sauti za utamu pia unganisha mkuu.
Usiku mzima haukufanikiwa kumsemesha Maya kutaka kujua kama anasikia utamu au maeneo aliyokuwa akishikwa analowa?
Jamaa anajua kuachia story sehemu ambayo kila mtu anataka kujua kifuatacho.
 
Back
Top Bottom