Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

U remind me about something I was about to forget......related true story & naked truth!......

Maeneo flani hapo banana ukonga,

Kuna mtaa unaitwa mtaa wa hali hewa....ni jirani kabisa na ofisi za TMA-mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa.. maeneo ya kipunguni-hali ya hewa,

Kuna nyumba Moja ni maruufu kwa uuzaji wa Maji miaka na miaka! maeneo hayo tangu zamani....Al maarufu panafahamika kama kwa Bacho!

Kuna hekalu kubwa la vigae vyekundu juu na kabustani kazuri kulizunguka hilo hekalu,

Jamaa anajihusisha na mambo ya clearing bandarini.....hilo jumba tangu tukiwa wadogo miaka ya 89,90 hadi sasa nnapoandika....

Haijawahi kaliwa na mtu yeyote.....ni mahindi tu! Huwa yanaanikwa hapo....

Jamaa yeye miaka yote anakaa kwenye nyumba ndogo ya chumba sebule! Hapo hapo na ana gari kali tu huwa anabalisha. Hii dunia ina mengi aisee!
Aisee
 
Back
Top Bottom