Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani - 21
Niliendelea kupambana katika kazi yangu ya usajili wa line huku nikiendelea kutunza hela nilizozipata,pesa aliyonipatia Ally Mpemba kama mshahara katika ile kampuni yake ya Catering nikiwa kama msimamizi nilikuwa nikihiifadhi pia,kiukweli ilifika mahali nikawa nina fedha sana kiasi kwamba nikasahau kitu kinachoitwa umasikini.
Baada ya kuona pesa ipo ya kutosha,nilianza ujenzi kwenye uwanja wangu niliokuwa nimeununua kule Zingiziwa - Chanika,nilipambana kiasi kwamba ile nyumba nikawa nimeifikisha kwenye lenta,nilipoifikisha hapo niliendelea kupambana ili angalau nipate tena pesa ili niimalizie kabisa kuezeka.Japokuwa nilikuwa ninapesa za kutosha lakini sikutaka kabisa kuidharau kazi yangu ya kusajili line za simu,ni kazi ambayo niliiepnda na ilikuwa kama zuga ili ninapoendelea kupiga pesa kwenye michongo ya kishirikina watu wasinishitukie.
Kabla brother Ally hajarudi kutoka huko alikokuwa ameniambia anakwenda,kuna siku nimetoka zangu pale ofisini buguruni nikawa naelekea kwenye sehemu yangu ya kazi kama kawaida pale Kkoo,sasa nilipofika nikawa nimefungua kuendelea na kazi,mara zote mimi ndiye nilikuwaga nawahi kufungua kabla duka la Ally Mpemba halijafunguliwa,haukupita muda kuna gari ikawa imepaki jirani na duka la Ally Mpemba na akashuka dada Farah akiwa amejifunika Nicab kama kawaida yake,sasa alipofika alinisalimia kana kwamba hatujaonana siku kadhaa nyuma wakati kila siku nilikuwa ninaongea nae.
Farah "Mambo"
Mimi "Poa dada uko poa?"
Farah "Niko poa,za siku?"
Mimi "nzuri"
Farah "Biashara inakwendaje?"
Wakati anaendelea kuniuliza maswali kadhaa niliendelea kumshangaa kwakuwa kila siku niko nae jirani na tunapiga stori kama kawaida,mimi nilidhani uenda labda kwakuwa biashara ya duka huwa ina mambo mengi nikajua atakuwa kuna kitu anafanya ili watu wasielewe chochote,sikutaka kumuuliza dada farah chochote niliamua kujiongeza kama mtu mzima maana biashara zina mambo mengi,lakini kadiri tulivyoendelea kuzungumza ndipo aliendelea kunichanganya kabisa.
Farah "Sijauliziwa kweli?"
Mimi "Na nani?"
Farah "Watu au wateja?"
Mimi "Sasa hivi au jana?"
Farah "Muda wote ambao sijafungua duka!"
Mimi "Muda wote ambao hujafungua!?,kwani lini hujafungua duka dada?"
Aliendelea kufungua duka na swali nililomuuliza ni kama hakulisikia vizuri,baada ya kufungua lile duka aliingia ndani akaendelea na mambo yake,mimi pia niliendelea kupiga kazi kama kawaida.Mara zote nilipokuwa nikisajili line ilikuwa ni lazima mteja awake salio ili aaanze kutumia,kupitia salio atakaloweka mteja ndipo nami nilikuwa najipatia kamisheni,sasa ili upate angalau kamisheni nzuri kila mwezi,ilikuwa ukimsajilia mteja namba mpya unamfungulia na akaunti ya pesa(Tigo pesa,M-pesa,Airtel money)ili aweke salio kwenye akaunti yake kisha unamnunulia salio kupitia akaunti yake,hiyo njia kiukweli ilikuwa nzuri kwetu freelancers kwasababu ilitupatia kamisheni nzuri.
Mimi mara zote pesa nilikuwaga nakwenda kuweka kwenye hilo duka la Ally Mpemba ambalo alikuwa akiuza dada yake aliyeitwa Farah,lile duka lilikuwa la simu lakini pia alikuwa akijishughulisha na utumaji na utoaji wa pesa kupitia mitandao ya simu,sasa kuna mteja alikuja nikawa nimesajilia line ya simu kisha nikamuomba buku ili nikamuwekee pesa kwenye akaunti yake kisha nimnunulie salio kama kawaida.
Mimi "Dada niwekee buku kwenye namba hii"
Farah "Nataka nikaweke float maana nilipoondoka nilizikomba zote!"
Aliendelea "Sitafunga utaniangalizia mara moja nikimbie hapo Crdb kuweka float kisha nawahi kurudi"
Mimi "Sawa dada usijali"
Farah "Ila master naona kishavu kishaanza kutoka,unapiga sana hela wewe!"
Mimi "Aaaaah hamna kitu dada"
Mimi "Kila siku tupo wote na unaniona ina maana leo ndiyo kishavu kimetoka?"
Farah "Wiki mbili nyingi sana mdogo wangu kwa mabadiliko!"
Wakati tunaongea kuna jamaa aliingia pale dukani na ilionekana walifahamiana na dada Farah,sasa jamaa kumbe dada Farah ndiye aliyekuwa amempigia simu akimhitaji aje pale dukani.
Jamaa " we unazingua sana rafiki yangu!"
Aliendelea "Ndugu yako pia nikimwambia anipe ananiambia ametoka"
Farah "Nilikwambia unisubiri nirudi mbona nyie wazigua mnakuwaga ving'ang'anizi!"
Jamaa "Wiki mbili nakutafuta hupatikani,hata simu nikipiga hupokei!"
Farah "Acha ukorofi wako,hebu shika hii hela nenda crdb uniwekee kwenye float"
Jamaa "Nakata hela yangu kabisa"
Farah "We nenda bwana ukirudi nakuja kukupa hela yako"
Sasa sikutaka kupoteza muda sana mle dukani,nilitoka nje nikamfata mteja wangu nikamwambia asubiri kidogo hadi jamaa wa float atakaporejea,sikutaka kabisa kwenda kuweka hela mahali pengine maana nilijua kufanya hivyo kusingekuwa na picha nzuri kwa watu ambao walinipatia eneo la kufanya biashara bila bugudha,hivyo mara zote salio nimekuwa nimiweka pale dukani.Kitu ambacho kiliendelea kuniumiza kichwa ni kitendo cha Farah kudai hakuwepo hilo eneo kwa takribani wiki mbili na kitu cha ajabu ni kwamba hadi duka alikuwa amelifunga kwa siku zote hizo,sasa swali likabaki ni nani ambaye alikuwa akifungua lile duka siku zote zile?,kiukweli nilijiuliza maswali mengi sana ambayo yalikosa majibu kwa muda ule.
Yule mteja baada ya kuona namchelewesha,aliniomba ile buku akanimbia atakwenda kuweka mwenyewe mbele ya safari,nilichomsisitiza ni kwamba ahakikishe anaweka kwanza hela kwenye akaunti yake kisha ananunua salio la kawaida.Kwakuwa sikuwa na wateja kwa muda huo nilinyanyuka nikasogea dukani kwa Farah angalau kuweza kujua ni kitu gani kilikuwa kinaendelea.
Mimi "Sasa dada kama hukuwepo mbona duka ulikuwa ukifungua kika siku!"
Farah "utakuwa unaota master,si ndiyo?"
Mimi "Sioti dada,jana mbona duka ulifungua!"
Farah "Mimi jana ndiyo nimetoka Zanzibar,haya hilo duka nimefungua muda gani?"
Baada ya kuona nako elekea ni kubaya na kuleta taharuki,niliamua kunyamaza na kuanza kujiongelesha ili kumfanya dada Farah asihisi kitu kwasababu nilianza kumuona kama hayuko poa na maswali yangu,sikutaka kabisa kumuuliza maswali tena asije kudhani nimeanza kufutalia maswala ya familia yao.Niliamua kutoka nje na kurudi sehemu yangu ya kazi.
Ilipofika mida ya saa 10 alasiri nilikusanya mwamvuli wangu pamoja na viti kisha nikavipeleka mahali ambapo mara zote huwa nikiviweka,baada ya hapo niliondoka kuelekea sokoni Kkoo nikanunua vyakula vya Maya kisha nikaondoka kuelekea Magomeni,nilipofika niliviweka vile vyakula pale kwenye meza kisha baada ya kumaliza nilichukua gari nikaondoka kuelekea nyumbani kwangu Gongo la mboto kwa ajili ya kuoga na kubadili nguo kisha nikarudi tena Magomeni.
Maisha yaliendelea kama kawaida huku mimi kila ijumaa Maya alikuwa akija mle chumbani nikawa namkung'uta viboko vyenye utamu wa asili kama kawaida,kiukweli niliamua kuwa muaminifu kwenye kila suala alilokuwa ameniambia Ally Mpemba.
Ilipofika mwisho wa mwezi ambao nilitegemea uenda Ally Mpemba angerudi lakini hakurudi kama alivyokuwa ameniambia.Mimi niliamua kutekeleza yale matwaka ya ile bangiri na kweli nilipata hela sana,safari hii baada ya kupata ile hela niliamua kwenda sokoni pale Ilala kwa yule mama Eliya na nikiwa na lengo la kumpata Rehema,sikutaka kabisa yule mama aelewe chochote ya kwamba nilikuwa nikimhitaji Rehema awe mpenzi wangu.
Mimi "Shikamoo mama"
Mama Eliya "Marhaba baba"
Aliendelea "Karibu"
Mimi "Ahsante"
Mama Eliya "Leo nikupatie nini!"
Mimi "Nitanunua tu kabeji kama kawaida"
Mama Eliya "sawa chagua sasa!"
Mimi "Mama hivi yule dada wa juisi leo ameonekana kweli?"
Mama Eliya "Eeeh alipita hapa muda kidogo umepita"
Mimi "Siku ile nimeinywa juisi yake ilikuwa nzuri mno,pale nyumbani kuna sherehe hivyo nilitaka nimpe kazi ya kuiandaa halafu nitamlipa"
Mama Eliya "Hebu subiri nakuja"
Yule mama aliondoka akawa ameelekea nisiko kufahamu kisha baada ya muda kidogo akawa amerudi.
Mama Eliya "Nilienda kumtizama kama yupo kule,huwa anapenda kukaa kwa dada mmoja naona pia anasema ameondoka muda si mrefu "
Mimi "Sawa nitakuachia namba ya simu akipita tafadhali mpatie mwambie anitafute"
Mama Eliya "Sawa baba"
Baaada ya kununua kabeji nilimuachia yule mama na kihela kidogo nikawa nimeondoka.Niliona zile kabeji nizipeleke kabisa nyumbani kwa Ally Magomeni ili mimi nirudi niendelee na misele kama kawaida.
Sasa kesho yake nikiwa katika eneo langu la kazi kama kawaida kuna namba ngeni ikawa imenipigia simu,nilipopokea kumbe alikuwa ni Rehema.
Mimi "Jana nimekuja lakini sikukuta"
Rehema "Kwahiyo tangu siku ile ndiyo ukaona unitafute jana"
Mimi "Mambo yalikuwa mengi ndiyo maana ukaona kimya"
Rehema "Najua mkeo hayupo ndiyo umeona unitafute, haya nambie sasa!"
Mimi "Nilikwambia sina mke!"
Rehema "kwani mnaaminikaga basi!"
Mimi "Sikia,leo nahitaji tuwe wote!"
Rehema "Leo kiukweli sitapata muda!"
Mimi "Niambie basi lini una muda!"
Rehema "Kesho nikitoka kwenye vikoba nitakwambia"
Mimi "Unatoka saa ngapi?"
Rehema "Tunakutanaga saa 10 jioni,hivyo labda saa 12 nikitoka ndiyo nitakuwa na muda"
Aliendelea "Nitumie basi elfu 10 kesho nipeleke vikoba"
Mimi "Nakutumia usijali "
Rehema "Ila kesho tukionana nitawahi kurudi nyumbani"
Mimi "Hakuna tatizo"
Baada ya mazungumzo na yule mwanamke nilimtumia hela elfu 20,sasa nakumbuka siku ambayo niliongea na Rehema ilikuwa jumatano na hivyo ilipaswa nionane nae siku ya Alhamisi jioni kama alivyokuwa ameniambia.Siku ya Alhamisi sikutaka kabisa kutokea eneo la kazi,nilipoamka pale nyumbani Kwa Ally Mpemba nilichukua gari nikawa nimeondoka kuelekea kwangu,nia na madhumuni ilikuwa ni kujiandaa kiakili na kimwili ili nikamkabili mwanamke mwenye shepu lake zuri Rehema.Nilihakikisha mazingira yote ya chakula cha Maya nayaweka vizuri na ilipofika saa 12 jioni nilifungua kile chumba nikawa nimekiacha wazi kama kawaida.Kweli,baada ya kutoka kwenye vikoba vyao akawa ameniambia nikamchukue,sasa niliondoka kuelekea Ubungo nikamkuta akiwa ananisubiri pale Ubungo jirani na ofisi za Tanesco.Nimchukua kisha tukaelekea Tabata,Rehema alikuwa amevaa nguo ya kitenge ambayo ilimchora vema umbo lake akazidi kunivutia sana,kuna mahali tulifika tukawa tumekaa tukaagiza chakula,mimi mbali ya chakula lakini pia niliagiza bia nikaanza kunywa,Rehema yeye hakuwahi kunywa pombe hivyo aliagiza chakula tu na maji ya kunywa.
Mimi "Leo tunaenda kulala kwangu"
Rehema "Sijawahi kulala nje pamoja na utu uzima wangu huu na sitathubutu"
Mimi "Kwanini?"
Rehema "Basi tu ndivyo ninavyoishi"
Mimi "sawa"
Rehema "Basi tuwahi kuondoka ili uwahi kunirudisha"
Baada ya kumaliza kula tuliondoka kuelekea Gongo la mboto,kiukweli baada ya kufika tu nyumbani hakukuwa na maneno mengi,nilimvuta Rehema chumbani na kuanza kumtomasa kwa ulimi na vidole bila huruma,baada ya kuona yupo tayari kwa vita nikamwambia ageuke kisha nikashika zipu nikamvua ile gauni,baada ya lile gauni akawa amebaki na sidiria pamoja na taiti,nikamvua ile sidiria kisha nikamvua na ile taiti akawa amebaki na chupi kisha nikamtupa kitandani,yule mwanamke alikuwa ni mzuri sana kwa umbo na hakuwa na mambo mengi,sikutaka kupoteza muda nikateremsha ile chupi kisha nikamuingizia mwanzi na safari ya kuvuna ulanzi ikaanza.
Baada ya kumtembezea mwanzi wa uhakika ni kama alianza kumwaga ulanzi ule wa mwanzo akiutafuta ulanzi wa pili ili anywe alewe kabisa.Nilidhani alivyoniambia angewahi kurudi nyumbani alikuwa serious kumbe alikuwa akitania,baada ya kumtandika mwanzi kisawa sawa aligoma kabisa kuondoka na akasema nitampeleka asubuhi nyumbani kwao.
Nimewahi kutembea na wanawake kadhaa lakini nadiriki kusema sitamsahau Rehema,nilipokuwa kwenye mahusiano na Shamima binti wa kitanga niliwahi kukiri ya kwamba sidhani kama ningekutana na mwanamke mwenye nyuchi tamu kuliko yeye lakini baada ya kutembea na Rehema kiukweli alimzidi kwa mbali sana Shamima.
Usiku huo kwangu ulikuwa bora sana kuliko usiku wowote ule ambao nimewahi kuupitia,ilipofika mida ya saa 11 alfajiri,niliamka kujiandaa kuondoka kwenda kuufunga ule mlango wa chumba cha Maya kule Mgomeni kwa Ally Mpemba.
Rehema "Unawahi wapi asubuhi yote hii mpenzi?"
Mimi "Nakuja mara moja"
Rehema "Basi uwahi kurudi,mwenzio nahisi baridi"
Mimi "Narudi sasa hivi mama"
Nilimgongea brother mmoja ambaye gari ile niliipaki kwenye nyumba ya kwao,ile nyumba na ambayo nilikuwa nimepanga zilikuwa za mtu mmoja,niliyemgongea alikuwa ni mmoja wa vijana wa mzee mwenye nyumba.
Niliingia kwenye gari kisha nikatoka zangu fasta kuwahi muda,nilipofika kwa Ally gari niliipaki nje kisha nikafungua geti nikazama ndani,baada ya kufungua mlango wa sebuleni nikakuta zile mboga Maya hakula,sikuelewa ni kitu gani kilitokea lakini nikaenda nikaufunga ule mlango wa Maya kisha nikawa nimefunga nyumba na kuondoka.
Siku hiyo Rehema hakwenda kazini kabisa,pia na mimi vilevile,tulikesha hapo nyumbani tukipigana mfweni wa maana kwasababu kila mmoja alikuwa na matamanio na mwenzie,sasa ilipofika mida ya saa 4 asubuhi nikiwa nimelala kwa uchovu,simu yangu ilianza kuita.
Niliamka nikaisogelea nikakuta ni brother Ally Mpemba akiwa ananipigia.Nilipoipokea ile simu nilikuta Ally Mpemba amejaa sana sumu huku akiongea kwa hasira tofauti na mwanzo nilivyomzoea.
Ally Mpemba "Unataka kunisababishia umasikini?,si ndiyo?
Aliendelea "Nakuuliza wewe,unataka kunisababishia umasikini?"
Itaendelea................