Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Potti naona unarudia makosa yale yale ya vijana wengi. “CHUNGA MCHUMBA HASOMESHWI”
Kuna MCHUMBA na MALAYA.

Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.

Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
 
Yeah risk aliyochukua wkt anatafuta maisha ni kubwa mnooo lkn sasa utelezi na kutokufuata mashariti kumemgalimu. Maana shariti usipakie abiria seat ya mbele simple. Yeye kaenda piga mitungi kasahau hilo shariti. Kazi kubwa sana alishafanya mpaka kutembea na msukule. Matanuzi ya Audi, mitungi na mademu imemponza masta.
Hivi mkuu unadhani shetani yuko kama unavyomdhania?,unadhani nguvu nilizotumia hapo nyuma kutafuta maisha ndizo zingetumika kukataa masharti?,Jaribu uone mkuu utakuja kusimulia hapa
 
Ila kwenye story ile ya kijijini kwa kina Monica Kuna sehemu ya comment alikua anabishana na jamaa kuhusu ufaulu wa shule za kata umughaka akasema alipata div 1 ya point 8 pcb!!! Nikaja kukuta mahali tena amesema alifeli kisa mtoto wa kitanga!! Mpaka Leo simuelewi
Huwezi kuelewa kwasababu wengi mnasoma ili muwe wa kwanza kukomenti negativity na siyo kusoma ili muelewe,ni wachache sana waosoma na kuelewa bali wengi mnasoma ili kuwahi kukomenti matusi
 
Huwezi kuelewa kwasababu wengi mnasoma ili muwe wa kwanza kukomenti negativity na siyo kusoma ili muelewe,ni wachache sana waosoma na kuelewa bali wengi mnasoma ili kuwahi kukomenti matusi
Screenshot_20230131-150204~2.jpg

UMUGHAKA Wala mi Sina negativity yoyote, nilijisahau tu ila Hio ni comment yako ulisema ulipata div 2 pcb kwenye shule ambayo Haina lab! Anyway hizo ni minor things tu na mi naienjoy story zako na Wala sipo kuku criticize!!

Peace
 
Kuna MCHUMBA na MALAYA.

Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.

Rehema now ndiye mke wangu mkuu.

Basi sawa Potti na Hongera pia uliwekeza sehemu sahihi.! Acha vijana waendelee kupigwa na ma-slay queen wa mitandaoni
 
Kuna mbaba ana magari haya makubwa ma Scania ya kubeba ma container.
VItuo vya mafuta, ana hela haswaa. Mpare huyo baba, shida ni hii kila mwaka lazima kijana afe, hao vijana ni watoto wa ndugu zake. Anawatoa huko upareni kuja kufanya kazi kwenye biashara zake.

Kila mwaka mwishoni mwa mwaka wanaenda kuzika, lazima msiba uwe kwake alfajiri wanasafirisha, sasa siku ya msiba hapo, wenye magari ya kifahari ni wengi zaidi, huenda wafanya biashara wenzake. Umughaka alivyosema kafara nimemkumbuka huyo baba.
 
Kuna MCHUMBA na MALAYA.

Mchumba anasomeshwa ila Malaya hasomeshwi,kitu kibaya sana ni kuwa wanawake wengi sikuhizi ni Malaya waliojivika Joho la Uchumba na ndipo kasheshe linapoanzia.

Rehema now ndiye mke wangu mkuu.
Duuuh,umetisha sana mzee
 
Daah majobless itabidi tuangalie sana tunapoenda kuomba kazi kwenye hizi biashara za watu binafsi asee

Kuna wakati mtu anaonekana anachagua kazi kumbe sababu tu ni mambo kama haya

Bora nikomae zangu kuomba serikalini tu au kwenye hizi NGOs [emoji16][emoji16]
Kufanya kazi na matajiri wafanya biashara inahitaji moyo,japo si wote washirikina.
 
Back
Top Bottom