huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 146
- 195
Hahaaaaa ungekuwa mbali sana mkuuSasa tunaenda bampa to bampa lol
Nimeukazania huu Uzi kwa siku3 mpaka nimemaliza page zote zaidi ya elf5
Lait ningekua serious na maisha kama nilivokazana kwenye uzi huu[emoji23]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app