PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Tukubali tu kwamba duniani kuna vinavyoonekana na visivyoonekana, vyote vinaishi na hutegemeana.Nilinunua soft ya kitabu chake watsap aisee kuna Mambo mengi Sana ya dunia hii kwenye ushirikina