Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna mwamba anaitwa poker nayeye story zake sio za kispotispoti,kwa sasa ana story Iko underway sio kitoto inakuchorea vizuri sana philosophy na psychology za watu mbalimbali aisee ili ujue dunia na maisha soma story za watu utajifunza mengi sana in advance, because haya mambo yanajirudia sana katika maisha whether you like or not.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Mwandishi Mzuri Kama Umughaka Toka Jamii forums ianzishwe
Anajitahidi sana kwa kweli
Uandishi ni pamoja na mpangilio mzuri wa matukio
Pia mvuto wa stori.

Mimi hii stori ni stori yangu ya tatu kusoma hadi mwisho.
Ya kwanza ilikuwa ya Mshana Jr ,A day in Buddhist college

Nyingine ya LwandaMagere
Huyu kwa kiasi kikubwa ni kama anaendana na Umughaka kwenye uandishi wake
Sijui ndio kipaji Cha watu wa Kanda ya ziwa[emoji23]

Ya tatu ni hii.

Stori nyingine nimejaribu kusoma ila sikuweza kumaliza hata episode mbili.

Kwa kweli mimi binafsi hadi nimesoma stori yote nimaliza basi mwandishi ni genius sana.
Pia napenda stori za ukweli,siyo hadirhi za kutunga.
 
Kuna mwamba anaitwa poker nayeye story zake sio za kispotispoti,kwa sasa ana story Iko underway sio kitoto inakuchorea vizuri sana philosophy na psychology za watu mbalimbali aisee ili ujue dunia na maisha soma story za watu utajifunza mengi sana in advance, because haya mambo yanajirudia sana katika maisha whether you like or not.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Shusha link hapa tuisome
 
Tupe mlejesho wa Ally Mpemba

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu Ally Mpemba ameniambia ngoja kwanza mfungo uishe kuna mambo ya msingi tufanye mimi na yeye ingawa kuna mambo mengi nimezungumza nae kwasababu ni siku nyingi nilikuwa sijaonana nae,hivyo yapo ya siri na nitawaeleza muda ukifika.

Ngoja kwanza mfungo upite tuone itakuwaje mkuu.
 
Cheif yule jini lilikuwa nyumbani kwa Ally Ndio farah?
 
Nikufahamishe kitu gani mkuu BAR tender
Iweje leo hii unaiweka wazi muktadha huu ilihali mlishalishana kiapo cha kutunza siri yenu???

mbili, Nduguzewa Mpemba waisomapo habari hii huoni italeta mtafaruku kwa jamii yao husika?? Ama umeficha majina yao Halisia???

Ni hayo tu kwa sasa
 
Mkuu hakuna cha mkataba hapo huyo nishaachana nae kitambo sema ni juzi tu ndo kanitafuta tena,hayo majina yapo mtaani kibao mkuu unapomtaja mtu na ubini wake ndo inaweza kuleta tatizo
 
Anajitahidi sana kwa kweli
Uandishi ni pamoja na mpangilio mzuri wa matukio
Pia mvuto wa stori.

Mimi hii stori ni stori yangu ya tatu kusoma hadi mwisho.
Ya kwanza ilikuwa ya Mshana Jr ,A day in Buddhist college

Nyingine ya LwandaMagere
Huyu kwa kiasi kikubwa ni kama anaendana na Umughaka kwenye uandishi wake
Sijui ndio kipaji Cha watu wa Kanda ya ziwa[emoji23]

Ya tatu ni hii.

Stori nyingine nimejaribu kusoma ila sikuweza kumaliza hata episode mbili.

Kwa kweli mimi binafsi hadi nimesoma stori yote nimaliza basi mwandishi ni genius sana.
Pia napenda stori za ukweli,siyo hadirhi za kutunga.

Samahani unaweza kushare hiyo ya Mshana Jr a day In Buddhist college
 
Back
Top Bottom