900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
kwani huyu jamaa ni naniHuyu jamaa anamiliki utajiri wa zaidi ya dola milioni 5 sawa na bilioni 12 za kitanzania hapo akiwa na baba yake[emoji1313]
View attachment 1929006
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani huyu jamaa ni naniHuyu jamaa anamiliki utajiri wa zaidi ya dola milioni 5 sawa na bilioni 12 za kitanzania hapo akiwa na baba yake[emoji1313]
View attachment 1929006
Nimepitia hizo thread sasa hivi, nimesikitika sana.Amezikwa mbeya ,amefariki wiki kadhaa zilizopita
Zilitolewa taarifa jukwaa lá cerebrity
AminNimepitia hizo thread sasa hivi, nimesikitika sana.
Mungu amuweke mahali pema peponi Amen.
Pengo lake hapa celeb halitozibika.
Tukamfate atumimbee tumchune child supportTunaamuaje?
Inakuwaje unakuwa na marafiki wanaoposti hizo mambo? Mie ndio kwanza nasikia kwako watu wameposti, halafu tena ni wanaume,[emoji848]Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Kwanaume hakuwahi kuwa mvulanaMmeanza tena kuchanganya wanaume na wavulana?
Wakikujibu utakuwa umenisaidia na mimi, naona nyota tu.Kwa nia nzuri waungwana naomba kuuliza rotimi ni nani ni mtanzania au na anafanya biashara gani,
Sawa, ila mimba mbona kama imekua gumzo au kulikua na tetesi vee hawezi kubeba? Mbona ni gumzo yani....lulu, tunda haijawa hivi
Kwa nia nzuri waungwana naomba kuuliza rotimi ni nani ni mtanzania au na anafanya biashara gani,
Shukran mkuuMsanii wa filamu, muziki, mjasiriamali n.k wa Kimarekani mwenye asili ya Nigeria ambaye kwa sasa amemchumbia msichana toka familia ya Mdee, Vanessa VeeMoney
Kwakweli hiyo tofauti nimefanikiwa kuiona....😁Kuna utofauti wa mimba ya USA na Umatumbini...
Umenitowa gizani na mimi nilikuwa sijui lolote.Msanii wa filamu, muziki, mjasiriamali n.k wa Kimarekani mwenye asili ya Nigeria ambaye kwa sasa amemchumbia msichana toka familia ya Mdee, Vanessa VeeMoney
Umenitowa gizani na mimi nilikuwa sijui lolote.
Kwahiyo huyu Vanessa na huyo jamaa yake wanaishi Marekani pamoja?
Hahaha yaani kama utopolo kujiita "young" wakati wamezeeka [emoji3]wewe ni jr au Sr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma Sana mpe max Bas ?/10 ? [emoji1787]Dola milioni 5 za kitanzania???[emoji848][emoji848][emoji848]
Weuweeeeeeeh [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Nawapenda sana yeye na Vanessa they look good
Mzee Mwanakijiji atalizibaNimepitia hizo thread sasa hivi, nimesikitika sana.
Mungu amuweke mahali pema peponi Amen.
Pengo lake hapa celeb halitozibika.