Utajiri wa Rotimi ni bilioni 12 za Kitanzania

Utajiri wa Rotimi ni bilioni 12 za Kitanzania

Ila wabongo ni viumbe dhalili sana aisee, can you imagine hadi wanaume wamepost hizo picha kwa status zao?!!!
Inakuwaje unakuwa na marafiki wanaoposti hizo mambo? Mie ndio kwanza nasikia kwako watu wameposti, halafu tena ni wanaume,[emoji848]
toka kwenye hilo kundi
 
Kwa nia nzuri waungwana naomba kuuliza rotimi ni nani ni mtanzania au na anafanya biashara gani,
 
Msanii wa filamu, muziki, mjasiriamali n.k wa Kimarekani mwenye asili ya Nigeria ambaye kwa sasa amemchumbia msichana toka familia ya Mdee, Vanessa VeeMoney
Umenitowa gizani na mimi nilikuwa sijui lolote.

Kwahiyo huyu Vanessa na huyo jamaa yake wanaishi Marekani pamoja?
 
Shemeji angu kipendhiiiih, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Back
Top Bottom