babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
TRA Now typing......TRA is now watching...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TRA Now typing......TRA is now watching...
TRA wakipiga hodi msianze kulia liaTajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B.
Source: Forbes Eastern and Southern Africa
Pongezi kwakeTajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B.
Source: Forbes Eastern and Southern Africa
Trillion Tatu au million 3... mkuu😂
Labda Billion 3 MkuuHizo Sasa dhihaka kiongozi, 3M seriously? Unamchukuliaje Shilole? Kuhusu 3T siwezi kulisemea sana ila kwenye 3M hapana.
Kumbuka Shishi ni mtu mwenye connectionLabda Billion 3 Mkuu
Sio Trilion 3 Mkuu bajeti ya wizara hiyo kabisa na chenji ya kutoshaKumbuka Shishi ni mtu mwenye connection