Utajiri wa Shilole wafikia Trilioni 3.9 TSH

Utajiri wa Shilole wafikia Trilioni 3.9 TSH

Mpunga mwingi naamini umetoka kwenye catering deal alilosign na kampuni mojawapo ya usafiri wa anga. Kama sikosei ilikuwa 2019 au 2020.

Uzi ufuatiliwe kwa updates zaidi.
 
Tajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B.

Source: Forbes Eastern and Southern Africa
Msukuma ww!
Shwain kabisa.
Unaijua T3 ww?
Shenzi kabisa
Kawadanganye sengerema
 
Back
Top Bottom