Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Trillion Tatu au million 3... mkuuπ
quadrillionTrillion Tatu au million 3... mkuuπ
Shishi Foods International
KapambanaHongera Sana
IV unanichukuliaje?Mkuu sources zako zinasema estimates ni ngapi kwa pesa za madafu?
Kwa hiyo umegoma kabisa au mpaka Millard Ayo apost?IV unanichukuliaje?
Trilion 3 shish chechchechehe
Illusions hio mzeeKwa hiyo umegoma kabisa au mpaka Millard Ayo apost?
Shishi kapambana, sio?Trilion 3.9... ni sawa na bilion 1000 uzipipange mafungu matatu na fungu la nne liwe na b 900!!... daaah......
Jumlisha wafanyabiashara na wanasiasa inaweza fika 10kama hata 5 wanafika.
Vipi mkuu na wewe umehamasihwa, sio?πππ
Kwanini mkuu?Hii ilikua siku ya wajinga?