FIRAUNI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 266
- 355
Umeandika upuuzi gani!!Mwl hafanyi shughuli zingine??
Au tuseme mwl ndio anamuuzia huyo mahindi anayolima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika upuuzi gani!!Mwl hafanyi shughuli zingine??
Au tuseme mwl ndio anamuuzia huyo mahindi anayolima
Ni kweli dada mfanyakazi ana uhakika wa maisha lakini akistaafu ushaona maisha yao yanavokua ?Ujasiriamali na biashra havikwepeki its just a matter of timeKatika hizi hesabu zako umezingatia siku ambazo dada mchoma mahindi atakua mgonjwa na ashindwe kwenda kibaruani? Au siku za mvua kunyesha na yeye kukosa wateja? Hataka kama mwalimu analipwa 350,000 kwa mwezi, kati ya hawa wawili mwalimu ana uhakika wa maisha.
uko sahihi sana lakini waajiriwa wengi ni waoga wa risk na wanaishi kwa kujaribu kufanya investment na biashara kiukweli hawafanyi ila wanajribu kipi kitawalipaMwalimu hajazuiwa Kufundisha tuition, wala kuchukua mkopo akafanya biashara, pili hujaconsider kipato zaidi ya mshahara. Tatu Risk zilizopo kwa mchoma mahindi hujazihesabu kwa makini, Gharama halisi za Maisha kwa mchoma mahindi umeziignore.Tulishatoka huko zamani, siku hizi waajiriwa pia ni investors, Leo nilikuwa nafuatilia gawio la hisa zangu za CRDB, pia TCCIA wametoa Waraka wa Matarajio,Ruxa Kusoma na Kuamua.Lakini pia Kama siyo mwoga,Mwajiriwa anaweza Kuingia kwenye Kilimo.Acheni kuwa undervalue waajiriwa wa enzi hizo za Ujamaa, hawa wa Digitali Wako tofauti!!
kutoboa ukiwa umeajiriwa ni msamiati mgumu kidogo lakini inategemeana na definition yako binafsi na maono yako kua hatua ipi ukifika utakua umetoboaUkiwa siriaz kwenye kujiajiri unatoboa vibaya sana lkn pia ukiwa siriaz kwenye kazi ya kuajiriwa unatoboa pia kikubwa malengo tu
Uhakika wa maisha lazima ukutane na ajira (job security) ambayo ndiyo umasikini maisha yote ukosubiri pension. Risk takers ndiyo wanaoiendesha dunia,wajasiriamali kama Shigongo. Kutoka Buchosa mpaka kuwa mtu kati ya watu mjini. Paul Makonda. Kutoka kuchimba mchanga na kuchoma mkaaa mpaka RC Dsm.Iv uhakika wa maisha ni kitu gan??? mbn kama mimi naelewa tofauti kuhusu uhakika wa maisha
Jaribu kufanya utafiti ili ujiaminishe kama kweli ni nadharia tupu au kuna ukweli flani itakusaidia sanaNadharia tú hzo. Kama ndo ivo kila muuza mahindi angekuwa maisha ya kati
Swali zuriWewe mtoa mada mbona huchomi hayo mahindi??
kama kuna kitu nilichojifunza kuhusu biashara ni mtu unapata tofauti na expectation![]()
UGUMU WA MAISHA HUANZIA AKILINI MWAKO.
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 usiku, kwa siku moja anauwezo wa kuchoma mahindi .50. Kila hindi moja ananunua shambani kwa shilingi 100/- Na Anauza kwa sh.600/-
Hiyo ina maana mahindi 50 ananunua kwa shilingi 5000/- akichoma na kuuza anapata sh.30,000/-. Akitoa pesa ya mtaji (5000/- ya mahindi na 1500/- ya mkaa) anabakiwa na sh.23,500/- kwa siku.
![]()
Hivyo kwa mwezi huyu mchoma mahindi atakuwa ameingiza kiasi cha sh.705,000/-
Mwalimu mwenye Degree anayeanza kazi analipwa 584,000/- akikatwa kodi pamoja na makato mengene ya mifuko ya jamii anabakiwa na sh.425,000/.
Tofauti ya Mwalimu wa degree na Muuza mahindi ni
Kuwa Mwalimu kanaajiriwa,
muuza mahindi kajiajiri.
![]()
Mwalimu anafanya kazi masaa 9 kwa siku (saa2 asubuh hadi 11jioni)
muuza mahindi anafanya kazi masaa matatu kwa siku (saa 12 jioni hadi 2 usiku).
Mwalimu anatumia muda wake wa ziada kusahihisha mitihani na homework,
mchoma mahindi anatumia muda wake wa ziada kutafuta fursa nyingine za kupata hela zaidi..
UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO..
Upuuzi wa firauniUmeandika upuuzi gani!!
Choma na ww, kupiga hesabu za wenzenu mpo vzur fanya research kwa wauza mahind maisha wanayoish then utuletee jbu lako hapa.![]()
UGUMU WA MAISHA HUANZIA AKILINI MWAKO.
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 usiku, kwa siku moja anauwezo wa kuchoma mahindi .50. Kila hindi moja ananunua shambani kwa shilingi 100/- Na Anauza kwa sh.600/-
Hiyo ina maana mahindi 50 ananunua kwa shilingi 5000/- akichoma na kuuza anapata sh.30,000/-. Akitoa pesa ya mtaji (5000/- ya mahindi na 1500/- ya mkaa) anabakiwa na sh.23,500/- kwa siku.
![]()
Hivyo kwa mwezi huyu mchoma mahindi atakuwa ameingiza kiasi cha sh.705,000/-
Mwalimu mwenye Degree anayeanza kazi analipwa 584,000/- akikatwa kodi pamoja na makato mengene ya mifuko ya jamii anabakiwa na sh.425,000/.
Tofauti ya Mwalimu wa degree na Muuza mahindi ni
Kuwa Mwalimu kanaajiriwa,
muuza mahindi kajiajiri.
![]()
Mwalimu anafanya kazi masaa 9 kwa siku (saa2 asubuh hadi 11jioni)
muuza mahindi anafanya kazi masaa matatu kwa siku (saa 12 jioni hadi 2 usiku).
Mwalimu anatumia muda wake wa ziada kusahihisha mitihani na homework,
mchoma mahindi anatumia muda wake wa ziada kutafuta fursa nyingine za kupata hela zaidi..
UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO..
Unataka kupimwa oil weweUpuuzi wa firauni
Mikopo inatesa sana walimuKatika hizi hesabu zako umezingatia siku ambazo dada mchoma mahindi atakua mgonjwa na ashindwe kwenda kibaruani? Au siku za mvua kunyesha na yeye kukosa wateja? Hataka kama mwalimu analipwa 350,000 kwa mwezi, kati ya hawa wawili mwalimu ana uhakika wa maisha.
Morogoroyanapatikana wapi hayo mahindi
maana nimechoka kusimamiwa
Kumbe mwalimu mwenye degree anaanza na basic ya 584,000/= ?![]()