Utajiri wa siri wa mchoma mahindi

Ukiwa siriaz kwenye kujiajiri unatoboa vibaya sana lkn pia ukiwa siriaz kwenye kazi ya kuajiriwa unatoboa pia kikubwa malengo tu
 
Ni kweli dada mfanyakazi ana uhakika wa maisha lakini akistaafu ushaona maisha yao yanavokua ?Ujasiriamali na biashra havikwepeki its just a matter of time
 
uko sahihi sana lakini waajiriwa wengi ni waoga wa risk na wanaishi kwa kujaribu kufanya investment na biashara kiukweli hawafanyi ila wanajribu kipi kitawalipa
 
Ukiwa siriaz kwenye kujiajiri unatoboa vibaya sana lkn pia ukiwa siriaz kwenye kazi ya kuajiriwa unatoboa pia kikubwa malengo tu
kutoboa ukiwa umeajiriwa ni msamiati mgumu kidogo lakini inategemeana na definition yako binafsi na maono yako kua hatua ipi ukifika utakua umetoboa
 
Iv uhakika wa maisha ni kitu gan??? mbn kama mimi naelewa tofauti kuhusu uhakika wa maisha
Uhakika wa maisha lazima ukutane na ajira (job security) ambayo ndiyo umasikini maisha yote ukosubiri pension. Risk takers ndiyo wanaoiendesha dunia,wajasiriamali kama Shigongo. Kutoka Buchosa mpaka kuwa mtu kati ya watu mjini. Paul Makonda. Kutoka kuchimba mchanga na kuchoma mkaaa mpaka RC Dsm.
 
Nadharia tú hzo. Kama ndo ivo kila muuza mahindi angekuwa maisha ya kati
 
kama kuna kitu nilichojifunza kuhusu biashara ni mtu unapata tofauti na expectation
laki saba si angekua anaenda anapark gar yake pemben huku anachoma hayo mahind???
 
Choma na ww, kupiga hesabu za wenzenu mpo vzur fanya research kwa wauza mahind maisha wanayoish then utuletee jbu lako hapa.
 
yanapatikana wapi hayo mahindi

maana nimechoka kusimamiwa
 
Mikopo inatesa sana walimu
 
Kumbe mwalimu mwenye degree anaanza na basic ya 584,000/= ?

Mwanangu hawezi kuwa mwalimu
 
Clouds wamekuharibu sana mleta mada na masomo yao feki ya Fursa
 
Sasa tukochoma mahindi wote nani atamuuzia mwenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…