Utajiri wako uko kwenye uaminifu, kujituma, na kuweka aibu pembeni

Utajiri wako uko kwenye uaminifu, kujituma, na kuweka aibu pembeni

uaminifu na kujituma namshukuru Mungu.
ila aibu bwana! inanigarimu mno.
Wengi tunaona aibu kufanya shughuli fulani; mfano kuna wengine wanajilipua na kujitoa ufahamu, mfano hawa wanaosifia sifia n.k
 
Anatoba ni kwa sababu Siri ya utajiri wake anaujua yeye mwenyewe ndo maana anaweza kutoboa!
Haya mambo ya work smart, sijui honest, sijui shameless utayafata na hutatoboa abadani mpaka mtu anaingia kaburini! Labda kuishia hela ya kupata kubadilisha mboga.
Utajiri una mambo mengi sana na umekaa kiroho zaidi ndo maana si kila mtu ni tajiri.

Na sio kila MTU Anautaka huo utajiri
 
Yeah kuna watu wako honest ila kila siku wanalizwa na kupata hasara bado huwezi kutajirika.
Hakuna mtu atakayekusifia kwa wema wako au uaminifu wako na kukupa unachostahili sana sana watakusifia baada ya kufa.
Uaminifu utakupa sifa ya kukopesheka, wateja kukuamini na atimaye mauzo kuwa juu, na watu wengine pia watakuletea fursa mbali mbali kwa sababu unaaminika.
 
Ni sawa na kuwa mjasiriamali; wapo wanaofundishwa na kufanya na pia wapo waliozaliwa na kipaji hicho
Kwenye biashara kidogo ina make sense maana ukishamaliza kozi unatumia maarifa uliyopata kwenda kusimamia biashara zako.
Sasa kwa mfano umesomea kozi ya ubunge lakini hujapitishwa kwenye kura za maoni wala hujachaguliwa na wananchi utaenda kuitumia wapi hiyo elimu?
 
Uaminifu utakupa sifa ya kukopesheka, wateja kukuamini na atimaye mauzo kuwa juu, na watu wengine pia watakuletea fursa mbali mbali kwa sababu unaaminika.
Uaminifu unalipa Sana

Ukiwa mwamiinifu unaweza kupata michongo ya maana Sana.
 
😁😁😁
Ila daah waswahili wanasema "Pata hela ujue tabia ya mtu" uone mtu anavovimba.

Ambapo huu msemo hau apply kwa matajiri wanaona kawaida tu na calmness Mind!
Wengine sasa wakipata balaa lao sio la kitoto..
Yaani anaweza akawa kwenye dalala labda konda anabishana na mtu chenji ya Sh 100 Unakuta tu mtu vihela vinasumbua kawazo kakijinga kanakuja tu sijui niwalipie nauli gari zima!🤣 huyu mtu mwenye mind set za hivo hawezi kuwa tajiri. Utajiri una Principles zake za Kiroho na Kimwili.
Lazima mwili uwe umeshajiandaa kupokea.
 
Hakika umeongea fact kubwa Sana

Kuwa lazima mwili uwe na utayari kupokea hiyo ni kweli kabisa.

Mimi nimeona jamaa zangu wengi walipokuwa hawana hela walikuwa na heshima pamoja na hekima Sana Ila baada ya kupata hela wengi wamekufa , na wengine wanaumwa magonjwa ambayo hayatibiki na kupona moja kwa moja. Kwa ajili ya poor lifestyle.

So kuna watu hela ndogo ndogo ndo zina-wafaaa
 
Mwenyezi Mungu atusimamie! Maana Utajiri unaweza kuja Kama Baraka au Laana!
Utajiri uje wenye Baraka vizazi na vizazi!
 
Matajiri kitu kikubwa kinachowabeba ni connection ya kujuana na watu na lile jina lao bas ndo maana hata aamke hana hela leo hii tajiri ni ngumu kufanya kaz anazofany maskini . Atapiga sim kwa watu watatu teal ukute ameshaeleweka watu wanampa mzgo matajili wengi weng wanabebwa na majina yao ila sasa shida kwetu maskini ni jinsi ya kutengeneza jina na kujulikana hapo ndo kimbembe kilipo
 
Back
Top Bottom