Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Wengi tunaona aibu kufanya shughuli fulani; mfano kuna wengine wanajilipua na kujitoa ufahamu, mfano hawa wanaosifia sifia n.kuaminifu na kujituma namshukuru Mungu.
ila aibu bwana! inanigarimu mno.
Anatoba ni kwa sababu Siri ya utajiri wake anaujua yeye mwenyewe ndo maana anaweza kutoboa!
Haya mambo ya work smart, sijui honest, sijui shameless utayafata na hutatoboa abadani mpaka mtu anaingia kaburini! Labda kuishia hela ya kupata kubadilisha mboga.
Utajiri una mambo mengi sana na umekaa kiroho zaidi ndo maana si kila mtu ni tajiri.
Ni utajiri upi? Maana umetoa hanging statement! Unaweza ukawa utajiri wa amani tu toka kwa mwenyezi Mungu! JE Huo huutaki?Na sio kila MTU Anautaka huo utajiri
Uaminifu utakupa sifa ya kukopesheka, wateja kukuamini na atimaye mauzo kuwa juu, na watu wengine pia watakuletea fursa mbali mbali kwa sababu unaaminika.Yeah kuna watu wako honest ila kila siku wanalizwa na kupata hasara bado huwezi kutajirika.
Hakuna mtu atakayekusifia kwa wema wako au uaminifu wako na kukupa unachostahili sana sana watakusifia baada ya kufa.
Ni utajiri upi? Maana umetoa hanging statement! Unaweza ukawa utajiri wa amani tu toka kwa mwenyezi Mungu! JE Huo huutaki?
Kwenye biashara kidogo ina make sense maana ukishamaliza kozi unatumia maarifa uliyopata kwenda kusimamia biashara zako.Ni sawa na kuwa mjasiriamali; wapo wanaofundishwa na kufanya na pia wapo waliozaliwa na kipaji hicho
Uaminifu unalipa SanaUaminifu utakupa sifa ya kukopesheka, wateja kukuamini na atimaye mauzo kuwa juu, na watu wengine pia watakuletea fursa mbali mbali kwa sababu unaaminika.
π€£π€£π€£ upo sahihi kabisa! Ndo maana sio wote wanaweza kuwa matajiri!Maisha unavyouaona yapo tofautii
Kuna watu hawapatani na hela wala mali na ukiwapa hela nyingi ujue unaweza kuwaua na kuwatoa duniani.
π€£π€£π€£ upo sahihi kabisa! Ndo maana sio wote wanaweza kuwa matajiri!
Ila daah waswahili wanasema "Pata hela ujue tabia ya mtu" uone mtu anavovimba.πππ
Ila daah waswahili wanasema "Pata hela ujue tabia ya mtu" uone mtu anavovimba.
Ambapo huu msemo hau apply kwa matajiri wanaona kawaida tu na calmness Mind!
Wengine sasa wakipata balaa lao sio la kitoto..
Yaani anaweza akawa kwenye dalala labda konda anabishana na mtu chenji ya Sh 100 Unakuta tu mtu vihela vinasumbua kawazo kakijinga kanakuja tu sijui niwalipie nauli gari zima!π€£ huyu mtu mwenye mind set za hivo hawezi kuwa tajiri. Utajiri una Principles zake za Kiroho na Kimwili.
Lazima mwili uwe umeshajiandaa kupokea.
NAKAZIAπππNi kweli kabisa kufanikiwa kumejificha huko na naomba kuongezea aina ya NIDHAMU ili uendelee
1.Nidhamu ya Muda
2.Nidhamu ya Fedha
3.Nidhamu ya Jamii
Mwenyezi Mungu atusimamie! Maana Utajiri unaweza kuja Kama Baraka au Laana!Hakika umeongea fact kubwa Sana
Kuwa lazima mwili uwe na utayari kupokea hiyo ni kweli kabisa.
Mimi nimeona jamaa zangu wengi walipokuwa hawana hela walikuwa na heshima pamoja na hekima Sana Ila baada ya kupata hela wengi wamekufa , na wengine wanaumwa magonjwa ambayo hayatibiki na kupona moja kwa moja. Kwa ajili ya poor lifestyle.
So kuna watu hela ndogo ndogo ndo zina-wafaaa