Utajisikiaje boss aliyekuajiri anakutangaza kwenye mitandao ya kijamii kwamba amekupa ajira?

Boxer ya Lemutuz inafunika friji!yan yupo sexy sipati picha alivokua akirembua mbele ya skype!
 
Hahahahahahaha le baharia unge muacha aje kujibu mwenyewe hahahahaha hongera kwa kuajiri u knw!
Wa bebez wakareee wataendelea kukupenda kwa moyo wako wa kusaidia u know! I like it!

- Mimi nimesaidia Mwananchi aliyekuwa hana ajira mengine mtajaza wenyewe U know hahahahahahahaha le mbebezzzz U know

Le Big Show
 
- Unajua huwa sometimes nacheka sana nimetishiwa weeee na this thing sijawahi kuona ikiwekwa toka Mwaka juzi natishiwa kwamba kuna Video nikawaomba kuiweka sioni vipi wekeni basi wananchi waione U klnow hahahahaha

Le Big Show

Hahahahahahahaha u know your so brave le baharia! Kwa hiyo unampa go ahead Jestina amwage mboga kama anayo? Hahahaha kweli wewe hutikisikwi hakika! Unajiamini hana?
Tafadhali Kim nana na BADILI TABIA mkae mbali mtafungwa!
 
Last edited by a moderator:
- Mimi nimesaidia Mwananchi aliyekuwa hana ajira mengine mtajaza wenyewe U know hahahahahahahaha le mbebezzzz U know

Le Big Show

Hahahahaha you knw wewe ni Celebrity mvumilivu kuliko wote u knw I like it! Hahahahaha Una moyo wa kusaidia u knw!
 
- Msema njia lazima uliipitia kumbe ndivyo ulivyo duh!! nomazzzz

Le Mutuz

Hahahahahahaha u knw wewe ni King wa Social media nimethibitisha Leo I like it hahahaha
Najiuliza uko Skype alikuonaje? Mlikuwa mnawasiliana?
 
Le baharia saidia na mie nipo kijiweni tu

- Nilikuwa na nafasi 2 Mfanya kazi wa ndani na Assistant kwenye kampuni yangu zote nimejaza tuobe Mungu zikitokea tena U know jungu kuu halikosi ukoko,

- Unajua watu wengi sana huwa wananitumia ujumbe sana kwamba wanafurahishwa sana na majibu yangu hapa U know hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Hahahahaha you knw wewe ni Celebrity mvumilivu kuliko wote u knw I like it! Hahahahaha Una moyo wa kusaidia u knw!

- Mkuu niamini wananchi wengi sana wanapendezewa sana na majibu yangu hapa wananiomba kila siku nijibu mpaka mwisho ila sometimes ninakuwa busy sana like the last 3 days nilikuwa mzigoni Bandarini U know

Le Mutuz
 
- Msema njia lazima uliipitia kumbe ndivyo ulivyo duh!! nomazzzz

Le Mutuz

Hahahahahahaha u knw wewe ni King wa Social media nimethibitisha Leo I like it hahahaha
Najiuliza uko Skype alikuonaje? Mlikuwa mnawasiliana?
 
Huyu jamaa moyo wake sijui upo tofauti na wa binadam wengne! maana huyu jamaa hatishiwi kwa maneno
 
- Mkuu niamini wananchi wengi sana wanapendezewa sana na majibu yangu hapa wananiomba kila siku nijibu mpaka mwisho ila sometimes ninakuwa busy sana like the last 3 days nilikuwa mzigoni Bandarini U know

Le Mutuz

Hahahahahaha wananchi wana kupenda u knw hasa mabebez hahaha I like it
 
Huyu jamaa moyo wake sijui upo tofauti na wa binadam wengne! maana huyu jamaa hatishiwi kwa maneno

Hahahahaha Mungu ni fundi hakika! Huyu ni kisiki cha mpingo!
 
- Nilikuwa na nafasi 2 Mfanya kazi wa ndani na Assistant kwenye kampuni yangu zote nimejaza tuobe Mungu zikitokea tena U know jungu kuu halikosi ukoko,

- Unajua watu wengi sana huwa wananitumia ujumbe sana kwamba wanafurahishwa sana na majibu yangu hapa U know hahahahahahahaha

Le Mutuz

Aiseee!
 
Hahahahahahahaha u know your so brave le baharia! Kwa hiyo unampa go ahead Jestina amwage mboga kama anayo? Hahahaha kweli wewe hutikisikwi hakika! Unajiamini hana?
Tafadhali Kim nana na BADILI TABIA mkae mbali mtafungwa!

Yani toka jana nacheka hadi machozi yananitoka Wallahi....!
Ama kweli duniani kuna watuuuu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom