Utajisikiaje ukipata ujumbe huu kutoka kwa mkeo?

Utajisikiaje ukipata ujumbe huu kutoka kwa mkeo?

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Mkeo amesafiri ameenda kula Sikukuu nyumbani. Anakutumia UJUMBE Kama huu.

Jana nilishindwa kukuwish heri ya mwaka mpya nilikua nangoja foleni iishe. Heri ya mwaka mpya mume wangu kipenzi najivunia kua na mume kama wewe, mchapakazi, mwenye upendo wa kweli, mvumilivu, smart man, mwelewa, usiejua kunikatisha tamaa, umekua msaada san kwangu, my king,

LOVE U SANA MUME WANGU KIPENZI.
 
Binafsi kwa mawazo yangu itategemea na UAMINIFU WA MKE MWENYEWE.......

All in all mapenzi Ni Art pia Ni Science.....
 
Hakuna mke hapo, utoto tu. Mwanamke wa mtu hawezi andika uandishi huo, labda kama nyoto bado watoto.




King mswati
 
Ujumbe wa kawaida sana huo. Tatizo lipo kwenye kusubiri mpaka siku ipite ndio aje kukutakia heri. Na kwanini hujamtakia heri huyo mkeo?
Hapo alisubiri attention yako umtakie heri wewe ajisikie wa muhimu kwako, aje kujibu ile 'nawe pia'
 
Hakuna mke hapo, utoto tu. Mwanamke wa mtu hawezi andika uandishi huo, labda kama nyoto bado watoto.




King mswati
Ofcorse mtu Alie zaliwa 1999 leo tupo 2021

Kama ni bint atakua na MIAKA 23
Ni umri mzuri KWA mabint kuolewa.....

Sisi wahenga 1999 kwetu tunaona Ni juzi tuu...
 
Back
Top Bottom