Utajisikiaje ukipata ujumbe huu kutoka kwa mkeo?

Utajisikiaje ukipata ujumbe huu kutoka kwa mkeo?

Mko form ngapi wewe na mkeo?
Mkuu Nitake Radhi mm Ni wakuniita nipo form ngap?

Hii nimesoma sehemu kwenye group la what's up....

Nikajikuta nimekua interested na hayo maneno ya huyo mdada nikajikuta nimeyatafakari......

Nikaonelea Niikopi na kuiweka hapa jukwaan kwa ajili ya kujadili....
 
Mkeo amesafiri ame enda kula Sikukuu nyumbani....

Anakutumia UJUMBE Kama huu......

Jana nlshndwa kukuwish heri ya mwak mpy nlkua nangoja folen iishe.......

Heri ya mwaka mpya mume wangu kpnz najivnia kua na mume km wewe, mchapakaz, mwenye upendo wa kwel, mvumilivu, smart man, mwelewa, usiejua kunikatisha tamaa, umekua msaada xn kwangu, my king,

LOVE U XN MUME WANGU KIPENZI.

Mke wangu aandike uandishi wa kitoto huo? Anajua kabisa hata hiyo meseji sitaijibu.
 
Back
Top Bottom