heheheh!umeona eeh!Hahahaha dah unakuwa kama mzee Khalifa au sio hahahaha kula wale jamaa zangu wenye masholi wao wideloaded anadiliki kumtanguliza mbele njiani yeye yupo nyuma anaangalia watu wanao mmendea na kuzungusha shingo kama feni wanapo pishana hahahaha dah si n'chezo.
madame u can't be serious!
Geoff why aint ya confident that u take good care of her...?uzoefu umethibitisha kwamba unyumba unachosha sana na unamchakaza mwanamke HASA AKIWA KWENYE NDOA......!sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILIππ
kumbe kutongozwa kuna raha yake eeeh!!!! (nahisi kama ilivyo kwenye kutongoza)
Hapa nakubaliana na wewe kama alimpenda hathubutu kukuambia. Lakini asipompenda mpenda hata kama hajawahi kumtamkia atasema uongo kwamba jamaa kila siku anamsumbuasijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
hehehehehe!Jamani laaziz si kweli lakini? Maana hiyo nimeipata toka kwa wanawake wenyewe!
Kuna dada mmoja alikuwa analalamika kwamba mimba imemfanya awe na sura mbaya na kukosa mvuto kiasi kwamba hatongozwi kabisa. Yaani eti kipindi chote alichokuwa na mimba aliwahi kutongozwa na mwanaume mmoja tu, tena mwanaume mwenyewe alikuwa kalewa!
wengine wana wivu WENGINE HATUNA!Geoff why aint ya confident that u take good care of her...?
Halafu mbona wanaume wengine wanawivu... wewe huna wivu?
I agree with u wanaume wengine hawana wivu but wivu doesnt always means that u dont trust ur partner... some ppl believe that usipomuonea wivu mke/mme wako u dont really have feelings for them...wengine wana wivu WENGINE HATUNA!
mimi ni mtu wa kusafiri safiri(KWA MFANO)....!nikiwa na huo wivu si bora niache kazi nilale na mke wangu tule hiyo 'I LOVE YOU'?
Bongo hii hii? MhhhI dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or somethingπ ...
But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu.....
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu. huwa inauma ila ufanyeje?
ndio bana! lakini wankwangu ananiambiaga! kwa hiyo kuna wengine huwa aniambii eeh!sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu. huwa inauma ila ufanyeje?
Haya weeee, mengi yatasikika mbona?
afadahli mtu ukae kimya, ukisema umetongozwa utaulizwa na nani na alikuambia nini?? (the exact words)
nani anataka kuwa narrator bana aaah!!!
Ni kumwonesha kuwa hupendi kuambiwa hayo mambo. Ukiendekeza na kushabikia basi unaweza kuambiwa kila siku, tena siyo mmoja bali hat-trick. Mimi huwa nam-discourage kunisimulia hizo hadithi bila kumkejeli au kum-hart.
kuna mazingira mengine yanajijenga basi unakuta mnaongea hadi vile vilivyo kwenye subconscious mind
Inauma sana unapoambiwa mtu anaekufahamu anamtokea mkeo/mpenzi wako. Mie nilishavunja urafiki na best yangu baada ya wife kuni lalamikia kuwa alikua anamsumbusumbua na inamnyima amani. mpaka leo kila nikimwona natamani nimtwange kichwa.Imagine unaambiwa anayemtokea mtu wako rafiki yako kipenzi. Usingizi utapatikana kweli?
Hapo kwenye blue; moyo siyo transparent, kwa hiyo kila mtu abebe msalaba wake kwenye hilo ingawa mengine tunaweza kusaidiana.