Utajisikiaje upoambiwa?

Utajisikiaje upoambiwa?

Hahahaha dah unakuwa kama mzee Khalifa au sio hahahaha kula wale jamaa zangu wenye masholi wao wideloaded anadiliki kumtanguliza mbele njiani yeye yupo nyuma anaangalia watu wanao mmendea na kuzungusha shingo kama feni wanapo pishana hahahaha dah si n'chezo.
heheheh!umeona eeh!
kwani mkuu TOM alijuaje kwamba dem wake watu wamedata na ''kile kijungu''?si mpaka wajanja walipoenda kumkandamiza dem wake kwenye gesti ya jirani na goli lake kwa mbwilo?😀😀😀
 
madame u can't be serious!

ofcourse I am not serious .... Honestly I never take seriously if he mentioned to me that there is a girl hitting on him... I know he wants my attention otherwise he would never mention it...
 
uzoefu umethibitisha kwamba unyumba unachosha sana na unamchakaza mwanamke HASA AKIWA KWENYE NDOA......!sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILI😀😀
Geoff why aint ya confident that u take good care of her...?
Halafu mbona wanaume wengine wanawivu... wewe huna wivu?
 
kumbe kutongozwa kuna raha yake eeeh!!!! (nahisi kama ilivyo kwenye kutongoza)

Hehehehe kuna jamaa etu akisha piga ulabu huwa anamtongoza mke wake lol,
Inakuwaje wewe B anakutongoza upya wkt mlisha tongozana samahani ni offtopic
 
sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
Hapa nakubaliana na wewe kama alimpenda hathubutu kukuambia. Lakini asipompenda mpenda hata kama hajawahi kumtamkia atasema uongo kwamba jamaa kila siku anamsumbua
 
icon10.gif
Jamani laaziz si kweli lakini? Maana hiyo nimeipata toka kwa wanawake wenyewe!

Kuna dada mmoja alikuwa analalamika kwamba mimba imemfanya awe na sura mbaya na kukosa mvuto kiasi kwamba hatongozwi kabisa. Yaani eti kipindi chote alichokuwa na mimba aliwahi kutongozwa na mwanaume mmoja tu, tena mwanaume mwenyewe alikuwa kalewa!
icon10.gif
hehehehehe!
 
Geoff why aint ya confident that u take good care of her...?
Halafu mbona wanaume wengine wanawivu... wewe huna wivu?
wengine wana wivu WENGINE HATUNA!
mimi ni mtu wa kusafiri safiri(KWA MFANO)....!nikiwa na huo wivu si bora niache kazi nilale na mke wangu tule hiyo 'I LOVE YOU'?
 
wengine wana wivu WENGINE HATUNA!
mimi ni mtu wa kusafiri safiri(KWA MFANO)....!nikiwa na huo wivu si bora niache kazi nilale na mke wangu tule hiyo 'I LOVE YOU'?
I agree with u wanaume wengine hawana wivu but wivu doesnt always means that u dont trust ur partner... some ppl believe that usipomuonea wivu mke/mme wako u dont really have feelings for them...

There are two types of wivu...Praiseworthy and reprehensible..

an example of the praiseworthy of wivu is when one actually sees his wife anatongozwa, or for instance, she is talking to a male stranger, and his sense of honor (wivu) makes him angry. wivu wanamna hii unaweza kuongeza mapenzi kwenye ndoa.

An example of the reprehensible kind of wivu is for a man to be suspicious of his wife, without her having done anything to arouse his suspicion; this kind of wivu spoils the love in a relationship.
 
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or something🙂 ...

But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...
Bongo hii hii? Mhhh
 
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu. huwa inauma ila ufanyeje?
 
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu.....

Haya weeee, mengi yatasikika mbona?
 
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu. huwa inauma ila ufanyeje?

afadahli mtu ukae kimya, ukisema umetongozwa utaulizwa na nani na alikuambia nini?? (the exact words)
nani anataka kuwa narrator bana aaah!!!
 
sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
ndio bana! lakini wankwangu ananiambiaga! kwa hiyo kuna wengine huwa aniambii eeh!

nimestuka!
 
yawezekena kweli kuna mtu alimtongoza ndo akaja kukuambia. mi alishaniambia hivyo nikamuuliza ni nani akagoma kabisa kunitajia ila akasema ni mtu wa karibu tu. huwa inauma ila ufanyeje?

Ni kumwonesha kuwa hupendi kuambiwa hayo mambo. Ukiendekeza na kushabikia basi unaweza kuambiwa kila siku, tena siyo mmoja bali hat-trick. Mimi huwa nam-discourage kunisimulia hizo hadithi bila kumkejeli au kum-hart.
 
Haya weeee, mengi yatasikika mbona?

i wish i knew you guy

afadahli mtu ukae kimya, ukisema umetongozwa utaulizwa na nani na alikuambia nini?? (the exact words)
nani anataka kuwa narrator bana aaah!!!

sure, kaa kimya ila ukimya huo uwe wa dhati

Ni kumwonesha kuwa hupendi kuambiwa hayo mambo. Ukiendekeza na kushabikia basi unaweza kuambiwa kila siku, tena siyo mmoja bali hat-trick. Mimi huwa nam-discourage kunisimulia hizo hadithi bila kumkejeli au kum-hart.

kuna mazingira mengine yanajijenga basi unakuta mnaongea hadi vile vilivyo kwenye subconscious mind
 
kuna mazingira mengine yanajijenga basi unakuta mnaongea hadi vile vilivyo kwenye subconscious mind

Ndo maana hata mimi nasema usiendekeze. Ikitokea story ikaja yenyewe basi utaipokea kutegemeana na mazingira. Ila kitu ambacho watu wengi wameonekana kutopenda ni tabia ya kukaa na kuanza hadithi kama vile mnapanga kujenga nyumba au kununua gari. Cha msingi ni kuonesha kuwa hupendi kuambiwa ambiwa ili isifikie mahali hizo zikawa kama ndo salamu baada ya kutoka kazini au kwenye matembezi.
 
Imagine unaambiwa anayemtokea mtu wako rafiki yako kipenzi. Usingizi utapatikana kweli?
Hapo kwenye blue; moyo siyo transparent, kwa hiyo kila mtu abebe msalaba wake kwenye hilo ingawa mengine tunaweza kusaidiana.
Inauma sana unapoambiwa mtu anaekufahamu anamtokea mkeo/mpenzi wako. Mie nilishavunja urafiki na best yangu baada ya wife kuni lalamikia kuwa alikua anamsumbusumbua na inamnyima amani. mpaka leo kila nikimwona natamani nimtwange kichwa.
 
Kwa kweli siwezi kumwambia laaziz wangu kuwa nimetongozwa leo. ah, sitaki kumpa pressure bure so bora aendelee ku gues tu kama mimi navyogues lol!
 
Back
Top Bottom