Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

1. Ukiona anaanza kukutambulisha kwa watu wake wa karibu kama rafiki zake, ndugu hata mzazi.
2. Ukienda kwake anakupa uhuru, unaweza kwenda kwake muda wowote na asikuulize kwanini haujamjulisha
3. Haombi papuchi hata akikupa hela. Sehemu za kukutana zikiwa ni kwake au kwako
4. Anakuelezea mipango yake hasa ya kiuchumi au hata mtu akimuuzi atakuambia
5. Akiwa anazungumzia masuala ya ndoa (kuoana). Muishi pamojq mjenge familia.
Ukiona kila mnapokutana anazungumzia sexy, ujue wewe ni wa mazoezi
Huwa tunatafuta mwanamke wa mazoezi na huyu huwa ni yoyote wa kupunguzia nyegezi.
 
Sawa kabsaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…