Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

Utajuaje huyu mwanaume kakupenda?

Mimi nadhani wanawake mkiacha kuwa wabinafsi(kupenda kujaliwa) mtaepuka mitego mingi ya wanaume. Inaingia akilini kweli binadamu mwenzako akuweke mbele mbele yeye nyuma nyuma,eti ananipenda. Kifupi huwa unatamaniwa kwanza halafu unatupiwa ndoana ya kujaliwa,kwa sababu ya ubinafsi na ulafi wako unajaa,kitumbo ndiii umeachiwa manyoya
 
Back
Top Bottom