Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

Ni kweli Smile wanaume wote ni sawa na suruali tofauti ni mfuko wa kushoto, kulia, na takoni.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe issue nini?...
asinipende? aninyanyase na watoto.aache kuniheshimu na kunithamini.... na malovee yote aache kuprovide
ila kama ananiacha shwari mi poa tu
ila nisijue
 
hakuna kitu .... ila kwangu mimi mume wangu kumega nje sio issue kwa kweli....
...u see?? hili ndo nnalokwambia!! usitulaumu wanaume wote kwa makosa ya mumeo dadaangu...!! wengine wake zetu wanafurahia ndoa zao...
 
Hapana bana sio wote...wengi we2 ni waaminifu sana 2.

usimchunguze sana bata banaa...
wewe enjoy your part
hakuna mwanaume mwaminifu...
wanaume wote ni sawa tofauti majina tu my dia....
 
Anhaa mi kwa kweli mwanaume mwenye limitation za hapa na pale sitaki hata kumsikia..habari za kukatazwa kushika simu,cjui kushika hiki mara kile waaaii lazima kuna walakini hapo..
 
Acha utoto we! Hakuna kizuri cha peke yako, tulia na mumeo.
 
jf
4308

icon1.png
re: Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?


kama kuna mwanaume hajawai kusaliti aje kulike hapa......​
mama nipo kwenye ndoa mwaka wa saba(7) sasa!. Sijawahi hata kuwazia kumsaliti mke wangu....achilia mbali hata kumshika mkono mwanamke mwingine kwa hisia za kimahaba... zaidi ya mke wangu..na hapa natumia jina langu halisi "juvenary mbungi"
 
mama nipo kwenye ndoa mwaka wa saba(7) sasa. Sijawahi hata kuwazia kumsaliti mke wangu..sahau japo kumshika **** mwanamke mwingi zaidi ya mke wangu..na hapa natumia jina langu halisi "juvenary mbungi"

hongera sana!tatizo wa dizain kama wewe mlizaliwa wachache..
 
I hope na mkeo angekuwa member angesema hivi hivi. Lol. Hongera sana; ni wachache wa hivyo.

mama nipo kwenye ndoa mwaka wa saba(7) sasa!. Sijawahi hata kuwazia kumsaliti mke wangu....achilia mbali hata kumshika mkono mwanamke mwingine kwa hisia za kimahaba... zaidi ya mke wangu..na hapa natumia jina langu halisi "juvenary mbungi"
 
hata mimi nikioa sitasaliti ndoa yangu! ee Mungu nisaidie
 
Ila tatizo akina dada mitego kibao!!!! acheni basi hizo mnatufanya tunatenda mambo ambayo hatupendi kuyafanya.
 
huwezi kujua kamwe jiandae kusamehe na kuvumilia hamna cha mke au mume. Ndoa itadunu kwa nja hiyo tuu.
 
Back
Top Bottom