Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

Utajuaje kama mpenzi wako ni mwaminifu au la?

usimchunguze sana bata banaa...
wewe enjoy your part
hakuna mwanaume mwaminifu...
wanaume wote ni sawa tofauti majina tu my dia....

mmmmh smile hapo kwenye red,vipi kuhusu wanawake?
 
ukichunguza sana utapata BP haraka sana haswa kwenye maswala ya mapenzi tunatakiwa tuwe na vivu kiasi tu
 
asinipende? aninyanyase na watoto.aache kuniheshimu na kunithamini.... na malovee yote aache kuprovide
ila kama ananiacha shwari mi poa tu
ila nisijue

Hapo kwenye red naona umeteleza kidogo Smile.
Huna sababu ya kusema wanaume wote si waaminifu kwa sababu huna ushahidi. Hapa nina maana kwamba hata mwenzio hujui uaminifu wake kwako, kwa hiyo huna sababu ya kumtilia mashaka kwani hujui kitu chochote juu hilo.
 
kutokuwa mwanaminifu ni tabia ya mtu mmoja mmoja, tusi-generalize
 
Anazerth usife moyo, ukitaka ufaidi ndoa yako kaa mbali na simu ya mumeo. usitake kwanza kuishika manake utajipa presha bure....................
 
we ulisha wai kuona wapi simu ikawa mzigo?bunduki na bastola ndio mizigo
 
Back
Top Bottom