Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Ukimkuta sio bikra hilo ni jibu tosha kuwa mwanamke uliye naye hajatulia ni malaya

Hili halihitaji mjadala wala kuandika uzi mrefu

Ukweli ni kwamba miaka hii binti akishabikiriwa ujue ndiyo ameanza safari ya umalaya iwe direct au indirect

Learn or perish

Na wewe ni bikra?
 
Na wewe ni bikra?
Nani alikwambia mwanaume anahitaji kuwa bikra?

Sir God hakumuumba mwanaume na ishara ya ubikira kwamba bado hajatumika.

Ila aliiweka hymen kwa mwanamke tu ili mwanaume ajue ameoa malaya au mke
 
Nani alikwambia mwanaume anahitaji kuwa bikra?

Sir God hakumuumba mwanaume na ishara ya ubikira kwamba bado hajatumika.

Ila aliiweka hymen kwa mwanamke tu ili mwanaume ajue ameoa malaya au mke
Huyo Sir God mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Sasa kama tayaru haumini kama yupo kwa nini nipoteze muda kukuthibitishia?
Kwa sababu hatuendi kwa kuamini amini, tunahakikisha.

Huwezi kuthibitisha yupo, kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Back
Top Bottom