Utajuaje kama mwanamke uliye naye ni kahaba?

Na wewe ni bikra?
 
Na wewe ni bikra?
Nani alikwambia mwanaume anahitaji kuwa bikra?

Sir God hakumuumba mwanaume na ishara ya ubikira kwamba bado hajatumika.

Ila aliiweka hymen kwa mwanamke tu ili mwanaume ajue ameoa malaya au mke
 
Nani alikwambia mwanaume anahitaji kuwa bikra?

Sir God hakumuumba mwanaume na ishara ya ubikira kwamba bado hajatumika.

Ila aliiweka hymen kwa mwanamke tu ili mwanaume ajue ameoa malaya au mke
Huyo Sir God mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Sasa kama tayaru haumini kama yupo kwa nini nipoteze muda kukuthibitishia?
Kwa sababu hatuendi kwa kuamini amini, tunahakikisha.

Huwezi kuthibitisha yupo, kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…