Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai umepika wewe au kapika demu wako asiejua kupika
"ebooo" why you bugging? 🤣Ebooo
Maisha yakiwa magumu unaweza jikuta ushakuwa mzaramoKwan ye mzaramo?
Pole boss pole kwa kula wali maharageMaisha yakiwa magumu unaweza jikuta ushakuwa mzaramo
Nimeipika mwenyewe hii, mana demu wangu anapikaga Chai mbichiChai umepika wewe au kapika demu wako asiejua kupika
Nakulaga walimwenguPole boss pole kwa kula wali maharage
Nyieee
Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa
Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake
Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu bro, huyo kitandani ni kamanda
Kama mwanamke hajui kupika, kitandani hayuko vizuri pia vitu vingi hajui,
trust me hii ndio bro code mnatakiwa mtembee nayo wanaume
hamna haja tena ya kushika shika, acha akupikie
Anafahamu vya kwao na ninavyopenda,nitakuletea umpatie darasa.Labda hataki kupika hakunaga mwanamke mbaya kitandani akajua kupika trust me hii ni statistics ya miaka nenda rudi
Hamna mwanaume mtamu wewe sema lesa za mwanaume tamu 🤣🤣🤣🤣🤣Nitajuaje mwanaume mtamu 🥴🥴
mzabzab
HahahaWangoni watu wa ajabu saana!! Walitoka South kuja kukaa Songea?
Hili naliunga mkono.Labda hataki kupika hakunaga mwanamke mbaya kitandani akajua kupika trust me hii ni statistics ya miaka nenda rudi
Pole bossNimeipika mwenyewe hii, mana demu wangu anapikaga Chai mbichi
Lazima udateNakulaga walimwengu
Kitandani si haba mkuu, mtoto anasapuka hatarii.Pole boss
Anapika chai mbichi ya maziwa au anachemsha chai mbichi ya rangi?
Kitandani yupoje?
Anakaaje kwa kitanda wifi yetu?Ushahidi muulize mimi.
Nimekaa pale!
Kitandani yukoje.?Anafahamu vya kwao na ninavyopenda,nitakuletea umpatie darasa.
Hamna mwanaume mtamu wewe sema lesa za mwanaume tamu 🤣🤣🤣🤣🤣