Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?

Akikaribia analazimisha mjomba aingize ndani yote na kusugua vilivyo hizi ni dalili za kukaribia kileleni, kileleni kunakokaribishwa utaona unabanwa hivi alafu unaachia then unabana tena na kuachia alafu unabana kwa nguvu kwa sekunde kadhaa kadri dume anavyoendelea kusugua unahisi umajimaji umevamia kitu na box unahisi utelezi wa majimaji war, kuridhika kwake ni pale nguvu imekwisha ukitaka kumsugua utaona poo yake ya ukweli ujue tayari
 
We unataka kumfikisha mtu kileleni mkiwa kitandani?
Kama unataka afike kileleni mpeleke mlima kilimanjaro
 
Jamani naomba kuuliza Mwanamke anapofika kileleni (mshindo) ni dalili zipi anaonyesha au wanatofautiana?
nisaidieni jaman kwa hilo.

Asanteni
Wengne wanatukana mkuu, utaskia anasema kumanna! Sasa wanatofautiana wengne Anazdsha madoido kama Mesi uwanjani huku amekushka na kukubana mwln mwake! Hapo sasa jua anatua makinikia!
 
Tupe ukweli wewe
Kama umeshabalehe( kuota nywele sehemu za siri, na umesha ozeshwa mke) ,wakati wa tendo la NDOA (sio uasherati) fanya yafuatayo:
1: Mwandae mwenzio awe tayari kufanya tendo takatifu
2: Uwe umejiandaa( kiakili,kimwili,kiroho)
3: Muanze mahaba ( sex play)
4: Fanya (sexual intercourse)
5: Usitake wewe ufike kileleni kwanza( muulize mkeo kama anapata raha fulani (tofautisha mrindimo wa sauti yake)
6: Fanya kama vile unasitisha kusex(unapima rythim and vibration ya kiuno chake)
7: Ukiona anakung'ang'ania fahamu kuwa raha inamwingia( anakaribia kufika kileleni)
8: Chezea clitoris wakati unaendelea kusex( Rythim itabadilika)
9:Muongeleshe/msemeshe
10: Mtazame usoni kuona mabadiliko yake.Kama anakaribia kufika kileleni sura inabadilika.
(7-10 ndio dalili za mwananke kufikia mshindo) Ukiweza mkamaliza pamoja atakukumbatia saana kwani manii yana joto na presha inayomsisimua mwanamke.Hapa atapitiwa na usingizi kama DKK 10 hivi mzito. Hata wewe pia utasinzia.
Angalizo: Usifanye papara. Na ussijaribu hii kwa dadapoa.
 
Akifika kileleni, mfano pale Kibo na Mawenzi basi, watu wote watamuona akiwa juu, wewe cha kufanya msubirie chini maana; akishuka utamuona na utajua kuwa amefika kileleni.
 
Mwanamke akifika kileleni k inaongezeka mnato. Wakati huo huwa kama anatetemeka au kea wengine hukunja uso kama vile anaumia. Kutegemea na aina ya mwanamke huwakuna utelezi wa aina yake unatokea. Wengine anaweza kukukumbatia kama vile anahisi unataka kumtoroka. Na mwishowe hushasha pumzi kama vile katua mzigo fulani aliokuwa ameubeba. Huwa hawataki kuendelea na game wakishafikia hiyo hatua na huwa kama wamechoka. Lingine ni kwamba wakishafika kileleni ule utelezi unabadilika viscosity yake na unakuwa majimaji zaidi tofauti na pale kabla unakuwa mzito.
 
Ukiona K imeweka automatic gear ujue hapo kichapo kimemkolea.....yaani unakuwa ni mteremko kwa sekunde kadhaa inakupa salut kwa kujichezesha yenyewe kama mtu mwenye kifafa
 
weng wanattemka mapaja au mwili mzima,(kwahapo ni ngumu kujifekisha nahakika),ila wanaume kbs wale kbs kbs wanasemaga hata k inakuwa tofauti!wenyewe wnaajuaga na usipokojoa unaambwa kbs hujakojoa! (na huwa kweli lol) salute kwao
Ni kweli mwanaume utajua baada ya kufika kileleni k inakosa ule mnato kabisa. Na maji yanakuwa laini, so mazito kaka ilivyokuwa kabla. Wengine hupitiwa na usingizi. Walio wengi upumuaji huwa unabadilika anakuwa kama ametua mzigo. Sasa kina wengine wanapiga kelele mpaka unaweza kuogopa kwamba watu watakujalia wakifikiri unauua mtu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mwanaume utajua baada ya kufika kileleni k inakosa ule mnato kabisa. Na maji yanakuwa laini, so mazito kaka ilivyokuwa kabla. Wengine hupitiwa na usingizi. Walio wengi upumuaji huwa unabadilika anakuwa kama ametua mzigo. Sasa kina wengine wanapiga kelele mpaka unaweza kuogopa kwamba watu watakujalia wakifikiri unauua mtu.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app


hahahahha umeongea kweli mkuu!hongera
 
Back
Top Bottom