Kama umeshabalehe( kuota nywele sehemu za siri, na umesha ozeshwa mke) ,wakati wa tendo la NDOA (sio uasherati) fanya yafuatayo:
1: Mwandae mwenzio awe tayari kufanya tendo takatifu
2: Uwe umejiandaa( kiakili,kimwili,kiroho)
3: Muanze mahaba ( sex play)
4: Fanya (sexual intercourse)
5: Usitake wewe ufike kileleni kwanza( muulize mkeo kama anapata raha fulani (tofautisha mrindimo wa sauti yake)
6: Fanya kama vile unasitisha kusex(unapima rythim and vibration ya kiuno chake)
7: Ukiona anakung'ang'ania fahamu kuwa raha inamwingia( anakaribia kufika kileleni)
8: Chezea clitoris wakati unaendelea kusex( Rythim itabadilika)
9:Muongeleshe/msemeshe
10: Mtazame usoni kuona mabadiliko yake.Kama anakaribia kufika kileleni sura inabadilika.
(7-10 ndio dalili za mwananke kufikia mshindo) Ukiweza mkamaliza pamoja atakukumbatia saana kwani manii yana joto na presha inayomsisimua mwanamke.Hapa atapitiwa na usingizi kama DKK 10 hivi mzito. Hata wewe pia utasinzia.
Angalizo: Usifanye papara. Na ussijaribu hii kwa dadapoa.