Utajuaje shock-absorber za gari zimechoka

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Wajuvi tafadhali.
Nikipimo kipi utatumia kujua kwamba shockups zako zinahitaji kuwa replaced?
 
Simple tu,kama zinagota mwisho kbs ukipiga shimo au tuta pia ukikata kona kwa spidi kdg tu unaona kama unapinduka gari inalemea upande kbs
 
Unajuaje kama zinagota mwisho mkuu
 
Wajuvi tafadhali.
Nikipimo kipi utatumia kujua kwamba shockups zako zinahitaji kuwa replaced?
1.Ukiingia kwenye shimo gari inagota(they no longer absorb shock)
2.Ukizichungulia utaona zimevuja oil
3.Kwasababu ziko weak gari linanesa sana, unaweza kujua kwa kulikandamizakandamiza chini gari lako.
 
ukiingia kwenye makorongo bodi linagonga badala ya kunesa nesa
 
Wajuvi tafadhali.
Nikipimo kipi utatumia kujua kwamba shockups zako zinahitaji kuwa replaced?
Ukitaka kujua uimara wa shock absorber, tafuta kilima kidodo kw barabara ya vumbi - rough road, kw gear namba tatu na mwendo wa wastani utapata gari lina vuta upande (sideways) kama vile lina bounce/nesa kusonga kw kando!
Pengine waeza karibu hili ni kwa rumble strips - yale matuta madogodogo kama manne hv.
 
Ndio maana gari yangu inagonga gonga chini nikifika kwenye makorongo
 
Wajuvi tafadhali.
Nikipimo kipi utatumia kujua kwamba shockups zako zinahitaji kuwa replaced?
Kingine rahisi piga jeki kama vile unataka kutoa tairi,utaona gari inanyanyuka sana bila tairi kuachia sakafu then baadaye ndio utaona tairi linapanda kitu ambacho si kawaida kama shockups ni nzima,pia ukiangalia utaona kuna kibomba cha rangi ya metal kimo ndani ya shock absober kinaonekana almost three quarter,hapo ujuwe zimeshachoka...
 
Ukitaka kujua uimara wa shock absorber, tafuta kilima kidodo kw barabara ya vumbi - rough road, kw gear namba tatu na mwendo wa wastani utapata gari lina vuta upande (sideways) kama vile lina bounce/nesa kusonga kw kando!
Pengine waeza karibu hili ni kwa rumble strips - yale matuta madogodogo kama manne hv.
What...[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom