Utakapokuwa Askari Usisahau mambo haya

Hakuna sheria inaruhusu mtu ye yote hata kama ni mwanajeshi kutoa uhai wa mtu isipokuwa kwa mujibu wa sheria. Rais katangaza vita au mtu kahukumiwa kunyongwa au ulikuwa unajitetea kwa bahati mbaya,ukamwua. Ukifanya jinai yo yote kwa madai ya amri kutoka juu, unahusika wewe binafsi. Andiko lako litatengeneza miungu wengi sana wakidhani wana nafasi ya kutoa roho za watu. Kiapo cha Rais ni kulinda Katiba ya Nchi.
 
Umenena haki lakini sio uhalisia.

Hata ufanyeje miungu duniani haitaisha, iko kila sehemu wakati wote.

Mara nyingi sheria hasa za dunia huhusu watu dhaifu na Masikini, ndio ukweli Mkuu 😭😭
 
Mimi ndo maana sipendi kazi za majeshi.Kazi za Yes! Ndio! bila kuhoji.SIZIPENDI.

Zamani nilikuwa natamani sana nijiunge JW ila shauku yangu hiyo ilibadilika nikiwa form 5. Tulipohitimu form 6 classmate wangu,na ambaye pia ni rafiki wa karibu, akanisihi tuombe kwenda JW nikamgomea.Yeye akaenda na sasa ni Luteni. Ila ninavyomuona akili yake haina tofauti na akili ya Luteni Denis Urio.HOVYO KABISA!
 
Umenena haki lakini sio uhalisia.

Hata ufanyeje miungu duniani haitaisha, iko kila sehemu wakati wote.

Mara nyingi sheria hasa za dunia huhusu watu dhaifu na Masikini, ndio ukweli Mkuu [emoji24][emoji24]
Unachosema ni sahihi. Lakini huwezi kutoa ushauri namna ya kutekeleza namna ya kutenda "haki" jambo ambalo ni kosa la jinai! Kuna Watanzania hapa tumeshajitoa uelewa kuhusu uhusiano wetu na mtu mwingine ye yote lakini mbaya zaidi tumeanza kukubali watu hata Serikali kuvunja Katiba na sheria zake. Watanzania wanazungumzia kisasi cha karma au Mungu kwa watu wanaofanya makosa ya jinai badala ya kuyakataa maovu hayo katika ujumla wetu. Huo uhuru tukipigania wa nini? Unanielewa!?
 
Heriet 5:17 asante sana ni maono kwelikweli. Ni maadili mema. Ubarikiwe
 
n kwel robert kwan ukweli utakuweka huru tatzo la watu wa siku hz ni wanafiki kama bashite
 
Wadanganye wenye mawazo kama yako,askari anaruhusiwa kufanya hivyo endapo muharifu anahatarisha maisha yake au ya watu wengine ndio maana wanakuwa public armed na kwa kumbukumbu zaidi rejea kwa hamza move za waarabu zilimdanganya akavuna alichopanda.
 
Maandiko yanasema askari toshekeni na mishahara yenu na mkatende haki
 
Wadanganye wenye mawazo kama yako,askari anaruhusiwa kufanya hivyo endapo muharifu anahatarisha maisha yake au ya watu wengine ndio maana wanakuwa public armed na kwa kumbukumbu zaidi rejea kwa hamza move za waarabu zilimdanganya akavuna alichopanda.
Hamza alilipa kisasi dhidi ya dhuluma toka kwa wavunaji wasipopanda
 
ubarikiwe kwa maneno yenye akili kama wangepita askari wetu hasa wale wa PGO na game warders wakasoma uzi huu hakika naamini wengine wangebadirika tabia zao.
 
ubarikiwe kwa maneno yenye akili kama wangepita askari wetu hasa wale wa PGO na game warders wakasoma uzi huu hakika naamini wengine wangebadirika tabia zao.

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Barikiwa Mkuu
 
Bandiko hili libandikwe kwenye ofisi zote za majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…