Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hili ni gazeti au blog?
Mtatafuta namna ya kumchafua ila mtashindwa
Nimecheka sanaAibu Tupu Mkamateni Sasa Ninyi Ni Chama Dollar
🤣🤣 Vituko haviishi
Yaani🤣🤣 Vituko haviishi
Nyie wapumbavu mlikuwa wapi siku zote kama Kweli nyie wanaume ; mmemgojea Gwajima kawafunua nguo ndio mna anza upuuzi wenu huo !
Inaweza kuwa no kweli lakini ni very wrong timing. Kwa sasa hatutasikia wala kuelewa chochote kuhusu Gwajiboy zaidi ya kutaka kujua nani anatuteka?