Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Tunaingoja kwa hamu hiyo hotuba maana kwa sasa ndiye kiongozi pekee mwenye kutoa hotuba akaeleweka na ukatamani aendelee kuongea! Rais wetu ajaye asiye na mawaa wala kunyazi! Mzalendo wa kweli!
Hakika.
 
..mbona kuna taarifa nyingine kwamba siku hiyo atakuwa kwenye msiba wa kada wa Chadema Manyara?
Mazishi ya Dk Magoma yatafanyika Jumanne, Februari 11, 2025, katika mji wa Magugu, Kijiji cha Matufa, Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara. Na Tundu Lissu atakuwepo.

Tarehe February 12 Lissu atakua Mikocheni. Karibu sana.
 
Hizo tarehe mbili tofauti mkuu. Mazishi ni kesho na hotuba Jumatano.
uongo mada imeletwa humu kuwa tarehe zote ni siku hiyo hiyo

Tundu Lissu kuongoza Mazishi ya Derrick Magoma yatakayofanyika Manyara 12/02/2025​

 
kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza, sasa mambo ya utake usitake ya nini?
 
Tundu Lissu hawezi kuhutubia taifa, hana hadhi hiyo bali atahutubia wana CHADEMA waliopo Tanzania. Ila sijui muko wangapi
 
Waandishi wa habari uchwara ndio wataenda

Media serious hupenda mwito uwe na agenda mtu ataongelea nini ili mhariri atume watu wabobezi eneo husika mfano agenda ikiwa ni sheria au uchumi au uchaguzi nk mhariri hujipanga atume mwandishi yupi mbobezi eneo husika

Haya mambo ya kuita tu waandishi wa habari bila agenda yeyote inasababisha waandishi vilaza kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…