Hana issue huyo msaliti vipi hajaenda kwa mabwana zake Ubelgiji?Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341