Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Aliibwaga imani yako dhidi ya mzee Mbowe.Lissu ni mnoma sana.Hana issue tena huyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliibwaga imani yako dhidi ya mzee Mbowe.Lissu ni mnoma sana.Hana issue tena huyo!
mbona nakufikiriaga kama mtu mwenye mawazo ya kuona things in their right perspective! Right from the inception of uchaguzi, nilionya kuhusu Lisu aina ya kampeni anazozifanya! CHARACTER ASSASSINATION! Hakuna issue ya kubwaga imani hapa. And I am sure Lisu is going to fail!Aliibwaga imani yako dhidi ya mzee Mbowe.Lissu ni mnoma sana.
Wale polis njaa waende tena sasa this timeMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Siyo kila muda uwe serious.Kuna muda nakuwa nimevuta bangi.mbona nakufikiriaga kama mtu mwenye mawazo ya kuona things in their right perspective! Right from the inception of uchaguzi, nilionya kuhusu Lisu aina ya kampeni anazozifanya! CHARACTER ASSASSINATION! Hakuna issue ya kubwaga imani hapa. And I am sure Lisu is going to fail!
Lazima kuna distractions toka kwa Hawa chawa!..mbona kuna taarifa nyingine kwamba siku hiyo atakuwa kwenye msiba wa kada wa Chadema Manyara?
Hakuna kiongozi wa CHADEMA anaytegemea ushirikina. Hayo yapo CCM tu, Chama Cha Mahetani na Majini.Kuna mtu aliandika humu kuwa Lisu hawezi hudhuria msiba ana masharti ya waganga wake wa kienyeji
CCM huwa wanacheza ngoma za kichawi na fisi.Hakuna kiongozi wa CHADEMA anaytegemea ushirikina. Hayo yapo CCM tu, Chama Cha Mahetani na Majini.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Tundu Lissu hawezi kuhutubia taifa, hana hadhi hiyo bali atahutubia wana CHADEMA waliopo Tanzania. Ila sijui muko wangapi
Siasa alizofanya Lisu dhidi ya Mbowe zilikuwa chafu mno kiasi kuwa hadhi ya Lisu imeshuka mno mbele ya wana Chadema na wasio wana ChademaAliibwaga imani yako dhidi ya mzee Mbowe.Lissu ni mnoma sana.
na kweli unavuta skanka!Siyo kila muda uwe serious.Kuna muda nakuwa nimevuta bangi.
Onesha grafu ilivyokaa kuhusu hiyo heshima.Siasa alizofanya Lisu dhidi ya Mbowe zilikuwa chafu mno kiasi kuwa hadhi ya Lisu imeshuka mno mbele ya wana Chadema na wasio wana Chadema
La Mzee Mbowe pole sana
Siasa alizofanya Lisu dhidi ya Mbowe zilikuwa chafu mno kiasi kuwa hadhi ya Lisu imeshuka mno mbele ya wana Chadema na wasio wana Chadema
La Mzee Mbowe pole sana
IT WAS VERY BAD, VERY BAD! KAMA MTU AMEKULEA TOKA "UTOTO WA SIASA", UKAPATA UMAARUFU, AKASHIKA ROHO YAO WAKATI UMEPIGWA RISASI, NA BILA MAAMUZI YAKO KUWA UPELEKWE NAIROBI NA SI MUHIMBILI, UNGELIKUWA MAITI. BADO UNAMBAGAZA MTU KAMA HUYO...KWELI HAWA WATANZANIA USIOWAJUA SURA ZAO UTAWAFANYIA LOLOTE!Onesha grafu ilivyokaa kuhusu hiyo heshima.
We figganiga umehamia Chadema lini?Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Kuna vita vikali dhidi ya Lissu, all in all Mungu yupo upande wake.Huenda akiamka tu siku hiyo kwenda ofisini atakuta FFU wamezingira ofisi za Chama!
Tumwombe Mungu.
Acha porojo nduguIT WAS VERY BAD, VERY BAD! KAMA MTU AMEKULEA TOKA "UTOTO WA SIASA", UKAPATA UMAARUFU, AKASHIKA ROHO YAO WAKATI UMEPIGWA RISASI, NA BILA MAAMUZI YAKO KUWA UPELEKWE NAIROBI NA SI MUHIMBILI, UNGELIKUWA MAITI. BADO UNAMBAGAZA MTU KAMA HUYO...KWELI HAWA WATANZANIA USIOWAJUA SURA ZAO UTAWAFANYIA LOLOTE!
LISU IS NO LONGER MY FAVORITE POLITICIAN AS HE WAS LAST YEAR!
Samahani Mkuu, wapi nimesema kwamba nimehamia CHADEMA? Nimehamia CHADEMA kutoka wapi? Yaani nilikuwa wapi nikahama?We figganiga umehamia Chadema lini?
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Bunge la Katiba linavunjwa?Endelea kuota ndoto, Bunge linavunjwa miezi michache kutoka sasa