Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Subscribed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stay tunedUnaelewa maana ya kulihutubia Taifa?
TBCStay tuned
Huko Dar kuna nini mbona taarifa ni nyingi kuhusu huyu jamaa?Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Antiphas Lissu kulihutubia Taifa leo 12.02.2025 saa 10 jioni!
Update Zitakuijia kupitia huu Uzi weka notification on.
BBC&VOA
TutamskilizaRais wa nchi kuanzia October anaongea na wanachi
With Bullets YesCCM is stronger than ever!
Hahahaha nini kitampa urais?? Lile tumbo? Nimegundua JF Ina watoto wajinga sana 😂Rais wa nchi kuanzia October anaongea na wanachi
You could be sick!!Samia atupishe
HatersHahahaha nini kitampa urais?? Lile tumbo? Nimegundua JF Ina watoto wajinga sana 😂
HatersYou could be sick!!
Natoka kazini mapema leo kusikiliza hotuba hiyo muhimu.Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni kutokea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.
Sawa tunasubiri hotuba ya muheshimiwaWakuu
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni kutokea Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam.