Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kuandika undeziKuna mtu aliandika humu kuwa Lisu hawezi hudhuria msiba ana masharti ya waganga wake wa kienyeji
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Aaah basi nisamehe........hii uzi yako mbona imekuja kubabe sana? Eti utake usitake.....kwani ugomvi?Samahani Mkuu, wapi nimesema kwamba nimehamia CHADEMA? Nimehamia CHADEMA kutoka wapi? Yaani nilikuwa wapi nikahama?
Bado maumivu hayajakuisha?! Utateseka hadi lini?! Mwenzio Ngongo amekaa kimyaa akijitafakari.kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza, sasa mambo ya utake usitake ya nini?
Tundu Lissu FARU JEURIMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.
Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
#StrongerTogether
View attachment 3232341
Tangu jana alihudhuria msibani, anaweza kuhudhuria mazishi na akaondoka kwa ndege..mbona kuna taarifa nyingine kwamba siku hiyo atakuwa kwenye msiba wa kada wa Chadema Manyara?
Maumivu ya nini?Bado maumivu hayajakuisha?! Utateseka hadi lini?! Mwenzio Ngongo amekaa kimyaa akijitafakari.
Wamebaki wahuni na mropokaji wao. Wenye hekima wamesepa wamebaki akili robo roboAaah basi nisamehe........hii uzi yako mbona imekuja kubabe sana? Eti utake usitake.....kwani ugomvi?
Haiwezi kutokeaHuenda akiamka tu siku hiyo kwenda ofisini atakuta FFU wamezingira ofisi za Chama!
Tumwombe Mungu.
Una nyongo sana.Wamebaki wahuni na mropokaji wao. Wenye hekima wamesepa wamebaki akili robo robo