Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Utake usitake: Tundu Lissu atahutubia Taifa tarehe 12 Februari 2025

Amepewa kibali na polisi ? Maana sasa hivi kuna hali ya hatari kutokana na yanayoendelea huko Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo🐼
 
Erythrocyte ameabaki kuwa mtandiaji wa nyuzi za wengine,siku hizi hatupashi habari za ndani kabisa juu ya chadema,kulikoni bwana Erythrocyte ?
Wigo wa waleta habari umeongezeka, na hayo ni maendekeo makubwa sana, Hamtaki nipandishwe Cheo jamani?

Ukishapanda Cheo haya mambo mengine unawaagiza vijana wayalete humu JF

Screenshot_2025-02-10-19-39-55-1.png
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu atalihutubia Taifa Jumatano tarehe 12 Februari 2025, saa kumi jioni.

Hotuba hiyo itafanyika Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.

#StrongerTogether
View attachment 3232341
Mungu baba Ibariki CHADEMA .. Mungu baba mbariki TAL
 
Wigo wa waleta habari umeongezeka, na hayo ni maendekeo makubwa sana, Hamtaki nipandishwe Cheo jamani?

Ukishapanda Cheo haya mambo mengine unawaagiza vijana wayalete humu JF

View attachment 3232420
Na wewe sasa utapoteza credibility ya habari zako

Lisu anaenda Manyara kwenye mazishi au atakuwa Dar es salaam kutoa hotuba tarege hiyo 12?
 
Waandishi wa habari uchwara ndio wataenda

Media serious hupenda mwito uwe na agenda mtu ataongelea nini ili mhariri atume watu wabobezi eneo husika mfano agenda ikiwa ni sheria au uchumi au uchaguzi nk mhariri hujipanga atume mwandishi yupi mbobezi eneo husika

Haya mambo ya kuita tu waandishi wa habari bila agenda yeyote inasababisha waandishi vilaza kwenda
Wahariri wabobezi wanapatikana wp hao
 
Wahariri wabobezi wanapatikana wp hao
Media house wanao mfano wako waliosomea uandishi wa habari ns sheria mfano Pascal Mayala nk wanakuwa na fani mbili uandishi na fani ingine mfano degree za uchumi na uandishi wa habari,degree za fedha na uandishi nk hivyo agenda ikihusu sheria au katiba mhariri akipata agenda itakayoongelewa mapema hujua atume mbobezi eneo hilo
 
Lisu akiitisha mkutano wa hadhara Dar akipata watu 100 bahati

Ndio maana anakomaa tu youtube huko kuficha aibu
Eti karibia mwezi unafika Mwenyekiti HAJAWAHI kujitambulisha hadharani. Mwishowe eti anahutubia kupitia online tv ya Jambo! Ahahahahaha!!!
 
Yaani hotuba ya kwanza toka awe Mwenyekiti anahutubia online badala ya mkutano wa hadhara

Hali mbaya kwake
Hata mimi linanishangaza kweli. Angelikuwa Mbowe, angeliisharuka na chopa kwenye mikoa zaidi ya mitano na kuleta hamshahamsha. Lakini Lissu chopa hawezi kukodi na michango ya kununua gari haieleweki. Eti Mwenyekiti! My foot!
 
Na wewe sasa utapoteza credibility ya habari zako

Lisu anaenda Manyara kwenye mazishi au atakuwa Dar es salaam kutoa hotuba tarege hiyo 12?

Mjinga wewe
Kwenye kuwa mjinga nakubali kabisa, lakini ikumbukwe kwamba Habari ya Tundu Lissu Kuongoza mazishi ya Derrick ilitangazwa na Amani Golugwa, Mimi nikaisogeza tu JF, Sasa kama ni lawama ni vema akapewa Golugwa.
 
Kuepuka lawama uwe una quote usiandike kama wewe ndie mwanzisha hiyo taarifa

Utabeba zigo la gunia la misumari la lawama lisilokuhusu
 
Back
Top Bottom