Utakuwa wapi? Unakaribishwa tuserebuke!

Utakuwa wapi? Unakaribishwa tuserebuke!

hahaha hapo kwenye kuria itabidi baba Gift aje atuambie...Babu kazi yake itakua ni kuahakikisha hicho kisusio kinyweka na wale tu wanahurusiwa kunywa kisusia basi!

Kwa mujibu wa mila na deturi zetu, Roya hataruhusiwa kupewa kisusio. Mpaka atakapomkabidhi Rose1980 kwa babu kwa ajili ya ukaguzi.
 
Kwa mujibu wa mila na deturi zetu, Roya hataruhusiwa kupewa kisusio. Mpaka atakapomkabidhi Rose1980 kwa babu kwa ajili ya ukaguzi.

Babu hiyo kali umeiwahisha ilipaswa kusubiri new year
 
Kumbe waungwana mpo huku?! I will be back...
 
Babu hiyo kali umeiwahisha ilipaswa kusubiri new year

Afu wewe na baridi hii ulikuwa umejichimbia wapi? Kuna vijukuu vya kiume huku, hebu njoo uvikague vikwapa vyao.
 
images

images

Gari ya nyuma ni Toyota Stout imejaa hii kitu hapa chini

images
 
Leo jioni bana. Mkoloni hana ujanja, lazima siku tatu hizi atorokwe tu, hamna jinsi. Usije na Finest lakini.

Ha ha ha Babu nawe huna siri??? nitakupigia basi kama atakuwa kalala atorokwe. Finest si ndio mpambe na mpinzani wa BE???
 
Nguli nimekugongea senksi kwa kuniletea divai kwa skriin yangu. Hapo UmeshaRIA KIDOKO?
 
Ha ha ha Babu nawe huna siri??? nitakupigia basi kama atakuwa kalala atorokwe. Finest si ndio mpambe na mpinzani wa BE???

Hapana, Finest bado mdogo. Nimemkabidhi kwa Mama Big amfanyie tohara kabla hajamjua mwanamke. Ni faida kwa afya yake.
 
moz-screenshot-8.png
Nguli unatupa kiuuu banaaa dah! mambo ya Ria kidonko mbe....Aikambe mwonoko!!
 
Hahahahahaha Teamo alikuwa kikwazo lakini mambo yamesha zungumzika kwa kilonga longa

Kwenye idara hiyo sina mashaka na wewe. sasa leta fungu la ulinzi.
 
Back
Top Bottom