Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Gharama za hiyo zoo wangeajiriwa vijana wengi tu kwa kada mbalimbaliWamezuia uhamisho wa watumishi wa umma, wameruhusu uhamisho wa Simba!
Haki iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za hiyo zoo wangeajiriwa vijana wengi tu kwa kada mbalimbaliWamezuia uhamisho wa watumishi wa umma, wameruhusu uhamisho wa Simba!
Haki iko wapi?
Waarusha wanalijua hilo..mzee wa NjiroNadhani wanasiasa wanafikiri wataweza kuifanya Burigi Chato sawa na Serengeti au Tarangire.
Ukweli mchungu kuuza safari kanda ya kaskazini ni rahisi zaidi kwasababu mbuga zote maarufu zipo karibu na nirahisi kumshawishi mteja kwenda huko.
Ukishuka Kilimanjaro Airport unakutana na Kilimanjaro National Park 20 kilometer,ARUSHA National Park 30 kilometers,Tarangire 70 kilometers,Manyara 70 kilometer,Ngorongoro & Serengeti 130 kilometers Hii ni parkage moja katika eneo moja.
Rubondo,Kitulo,Mahale & Gombe zipo muda mrefu lakini hazimo miongoni mwa hifadhi zinazoingiza mapato.Zipo kwasababu ya ruzuku from others Park kama Kilimanjaro,Serengeti & Ngorongoro.
Huu sio uchawi ni uhalisiaAcha uchawi bwashee!