MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.
Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Watalii ndo wanazidi kumiminika!! Kuanzia mwakani Brussels Airways inatua KIA directly!!Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.
Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Hawa wachawi wanazidi kuchanganyikiwa, tabia za Mange zinafanana na za huyu mkuu, kusambaza taharuki za kijinga.Watalii ndo wanazidi kumiminika!! Kuanzia mwakani Brussels Airways inatua KIA directly!!
utalii ndo umepanda saahv kama biggest foreign earner it foreign cash, ila before ilikua Gold! lakini pia sio rahisi sana utalii kushuka serengeti ndo best national park duniani mwaka wa 7 sasa inachukua tuzo mfululizoKuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.
Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Wote wezi hakuna anayeweza kushinikiza chochoteKuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.
Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Utalii lazima ushuke kwa asilimia 60% shikeni haya maneno yanguKuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa hatarini.
Kwenu CCM hatua ya awali kujiokoa ni kumshinikiza Samia aachie kiti kwa maslahi ya taifa
Una data mkuu au shida ni wapi unaishi?utalii ndo umepanda saahv kama biggest foreign earner it foreign cash, ila before ilikua Gold! lakini pia sio rahisi sana utalii kushuka serengeti ndo best national park duniani mwaka wa 7 sasa inachukua tuzo mfululizo
Tanzania sio salamaWatalii ndo wanazidi kumiminika!! Kuanzia mwakani Brussels Airways inatua KIA directly!!
kwan zile tuzo wa travel awards hufuatiliagi?Una data mkuu au shida ni wapi unaishi?
Tangu 29October mpaka leo, tarehe gani zimetolewa mkuukwan zile tuzo wa travel awards hufuatiliagi?
Labda kwa mama yako.Tanzania sio salama
we huenda hauko dunia hii, hivo basi ingia online otherwise katulize komweTangu 29October mpaka leo, tarehe gani zimetolewa mkuu
Tanzania haitakuwa salamaLabda kwa mama yako.